GE2025 Ninaamini hakutakuwa na uchaguzi Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Balozi Polepole aneweka wazi kuwa sababu za kujiuzulu katika nafasi yake ya ubalozi ni kuwa, serikali anayoitumikia haisimamii maslahi ya umma. Tuko katikati ya July na October haiko mbali.

Chama kitauzaje sera zake kwa wananchi wakati barua wazi ya Balozi Polepole inanyoshea kidole mapungufu ya serikali inayoongozwa na Chama Tawala.

Mchungaji Gwajima amekemea utekaji na raia kupotea na hoja yake imejibiwa kwa kanisa lake kuvunjwa na waumini kujeruhiwa mchana kweupe

Chama cha upinzani kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa na kiongozi kuwekwa magereza.

No Reforms No Election kuwa kauli ya jinai, ukiitamka unaweza kupata kosa la kuhujumu uchumi au kuuwa ili mradi ukafichwe magereza kama si kuuwawa.

Au Tanzania tunaishi sayari Zuhura ambako nchi ni yetu tu wala hatuhitaji jumuiya za kimataifa? Huku sayari Zuhura wanyama aliotujalia Mungu kuwaweka hapa tunawapeleka Sharja wakiisha tutafanya biashara gani.
 
Umefanya vizuri Ila usiishie kukopi na kupesti post za watu be smart and creative Nigga
 
Amka utajinyea Kwa bed

Ingekua kila wazo la mtu kwenye taasidi liwe ndio kauli na mtazamo wa taasisi tungeshakua vichaa watupu
 
W
ww utakuwa mgeni kwenye nchi hii...
 
soon ataitwa mbele ya mahakama kueleza anasa alizokua akifanya usa kila wikienda alipokua akiwakilisha nchi Cuba alikua anasimamia maslahi ya tamaa zake kimwili au maslahi ya umma?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…