Uchaguzi kiinimacho usitishwe, ili tujiandae na uchaguzi wa kweli.Uchaguzi usitishwe kwa ajili ya watu wawili watatu!!!??.. basi hili litakuwa sio Taifa..
Hamchelewi kubadili ID ukweli unapobainika, Wajinga nyie!Kwa mara ya kwanza nimekutana na mtu anaota ndoto huku akiwa macho hajalala hongera sana
Ndio maana wanatafutiza tumakosa kwa upinzani ili waonekane wanafanya kazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwaka huu CCM watauana wenyewe kwa wenyewe mbwa hawa
Hongera umejishindia pia tuzo ya kuota ndoto huku ukiwa macho haujalalaHamchelewi kubadili ID ukweli unapobainika, Wajinga nyie!
Hasta la Victoria Siempre!soon ataitwa mbele ya mahakama kueleza anasa alizokua akifanya usa kila wikienda alipokua akiwakilisha nchi Cuba alikua anasimamia maslahi ya tamaa zake kimwili au maslahi ya umma?🐒
Kweli ccm ni ya majinga. Ukifanya ubadhirifu/wizi/ufsadi/uzembe uko salama so long as uko ccm. Ukitofautiana nao ndio wanakupeleka mahakamani. Tuliona pia yaliyowakuta Lowassa, Sumaye etc walipojaribu kuondoka ccm.soon ataitwa mbele ya mahakama kueleza anasa alizokua akifanya usa kila wikienda alipokua akiwakilisha nchi Cuba alikua anasimamia maslahi ya tamaa zake kimwili au maslahi ya umma?🐒
Instead of spitting English words randomly, just respond in your fluent mother tongue!mayhems are always useless and completely nonsense in conversations🐒
in respect to kiswahili,Instead of spitting English words randomly, just respond in your fluent mother tongue!
Sababu za kipuuziKwanini mnamushambulia wakati kajiuzuru mwenyewe na Katia sbbu
Ni muhimu uchaguzi ufanyike.Balozi Polepole aneweka wazi kuwa sababu za kujiuzulu katika nafasi yake ya ubalozi ni kuwa, serikali anayoitumikia haisimamii maslahi ya umma. Tuko katikati ya July na October haiko mbali.
Chama kitauzaje sera zake kwa wananchi wakati barua wazi ya Balozi Polepole inanyoshea kidole mapungufu ya serikali inayoongozwa na Chama Tawala.
Mchungaji Gwajima amekemea utekaji na raia kupotea na hoja yake imejibiwa kwa kanisa lake kuvunjwa na waumini kujeruhiwa mchana kweupe
Chama cha upinzani kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa na kiongozi kuwekwa magereza.
No Reforms No Election kuwa kauli ya jinai, ukiitamka unaweza kupata kosa la kuhujumu uchumi au kuuwa ili mradi ukafichwe magereza kama si kuuwawa.
Au Tanzania tunaishi sayari Zuhura ambako nchi ni yetu tu wala hatuhitaji jumuiya za kimataifa? Huku sayari Zuhura wanyama aliotujalia Mungu kuwaweka hapa tunawapeleka Sharja wakiisha tutafanya biashara gani.
wakati anayafanya yote hayo, serikali ilikuwa fofofo au wapi? kwa nini sasa ndio uyaseme ? au ni kwa sababu katema bungo na sasa amewachukiza? why now?soon ataitwa mbele ya mahakama kueleza anasa alizokua akifanya usa kila wikienda alipokua akiwakilisha nchi Cuba alikua anasimamia maslahi ya tamaa zake kimwili au maslahi ya umma?🐒
na hilo ndilo tatizo, watu wengi hawataki magumashi yaendelee... business as usual haikubariki tenaUkweli ukiangalia kwa jicho la tatu October 2025 hakuna uchaguzi isipokuwa kuna manipulation inafanyika ili uchaguzi wa business as usual ufanyike.
Akili fupiBalozi Polepole aneweka wazi kuwa sababu za kujiuzulu katika nafasi yake ya ubalozi ni kuwa, serikali anayoitumikia haisimamii maslahi ya umma. Tuko katikati ya July na October haiko mbali.
Chama kitauzaje sera zake kwa wananchi wakati barua wazi ya Balozi Polepole inanyoshea kidole mapungufu ya serikali inayoongozwa na Chama Tawala.
Mchungaji Gwajima amekemea utekaji na raia kupotea na hoja yake imejibiwa kwa kanisa lake kuvunjwa na waumini kujeruhiwa mchana kweupe
Chama cha upinzani kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa na kiongozi kuwekwa magereza.
No Reforms No Election kuwa kauli ya jinai, ukiitamka unaweza kupata kosa la kuhujumu uchumi au kuuwa ili mradi ukafichwe magereza kama si kuuwawa.
Au Tanzania tunaishi sayari Zuhura ambako nchi ni yetu tu wala hatuhitaji jumuiya za kimataifa? Huku sayari Zuhura wanyama aliotujalia Mungu kuwaweka hapa tunawapeleka Sharja wakiisha tutafanya biashara gani.
Uchaguzi utafanyika bila vikwazo vyovyoteBalozi Polepole aneweka wazi kuwa sababu za kujiuzulu katika nafasi yake ya ubalozi ni kuwa, serikali anayoitumikia haisimamii maslahi ya umma. Tuko katikati ya July na October haiko mbali.