GE2025 Ninaamini hakutakuwa na uchaguzi Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
soon ataitwa mbele ya mahakama kueleza anasa alizokua akifanya usa kila wikienda alipokua akiwakilisha nchi Cuba alikua anasimamia maslahi ya tamaa zake kimwili au maslahi ya umma?🐒
Atawatoa wahuni wote mapangoni mwaka huu uzuri hakuwaficheni,bado wenzio
 
Ukweli ukiangalia kwa jicho la tatu October 2025 hakuna uchaguzi isipokuwa kuna manipulation inafanyika ili uchaguzi wa business as usual ufanyike.
 
Umeandika kishabiki sana na kuacha ukweli
 
HAMIENI BURUNDI WAJINGA TU NYIE
 
Ni kweli,

Uchaguzi bila Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi UTAYEYUKA.

Ila baada ya kufanyika reforms, utakuwepo uchaguzi na CDM itashiriki uchaguzi na kupata viti vingi kuliko chama Cha majani mabichi.
 
Yeye anasimamia maslahi ya umma ka zile KLY zilizoonekana kwakwe alipodai amevamiwa
 
Yeriko inabomoka
 
God bless Tanganyika

God bless Tundu Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…