GE2025 Ninaamini hakutakuwa na uchaguzi Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa mara ya kwanza nimekutana na mtu anaota ndoto huku akiwa macho hajalala hongera sana
 
Ikisema NRNE unaambiwa umejenga kwenye hifadhi, wanabomoa nyumba. Kama tupo Burundi ya enzi zile
 
Mwaka huu CCM watauana wenyewe kwa wenyewe mbwa hawa
Ndio maana wanatafutiza tumakosa kwa upinzani ili waonekane wanafanya kazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kura hatupigi siasa hatufanyi na hatuna habari nao kabisa na watauana tuuu maaninaa
 
soon ataitwa mbele ya mahakama kueleza anasa alizokua akifanya usa kila wikienda alipokua akiwakilisha nchi Cuba alikua anasimamia maslahi ya tamaa zake kimwili au maslahi ya umma?🐒
Kweli ccm ni ya majinga. Ukifanya ubadhirifu/wizi/ufsadi/uzembe uko salama so long as uko ccm. Ukitofautiana nao ndio wanakupeleka mahakamani. Tuliona pia yaliyowakuta Lowassa, Sumaye etc walipojaribu kuondoka ccm.
 
Instead of spitting English words randomly, just respond in your fluent mother tongue!
in respect to kiswahili,
nonsense and useless comments must be responded and ignored with colonial languages
 
Ni muhimu uchaguzi ufanyike.
 
soon ataitwa mbele ya mahakama kueleza anasa alizokua akifanya usa kila wikienda alipokua akiwakilisha nchi Cuba alikua anasimamia maslahi ya tamaa zake kimwili au maslahi ya umma?🐒
wakati anayafanya yote hayo, serikali ilikuwa fofofo au wapi? kwa nini sasa ndio uyaseme ? au ni kwa sababu katema bungo na sasa amewachukiza? why now?
 
Ukweli ukiangalia kwa jicho la tatu October 2025 hakuna uchaguzi isipokuwa kuna manipulation inafanyika ili uchaguzi wa business as usual ufanyike.
na hilo ndilo tatizo, watu wengi hawataki magumashi yaendelee... business as usual haikubariki tena
 
Akili fupi
 
Uchaguzi utafanyika bila vikwazo vyovyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…