johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ninamjua Freeman Mbowe kitambo sana na Nina uhakika kama angetaka kubaki Uongozini angebakishwa Kwa nguvu ya Mifumo mbalimbali
Ninachojiuliza kwanini Mbowe kaamua kumuachia Tundu Lisu Chama?
Kuna nini mbele? Naendelea kufanya utafiti ๐ผ
Ninachojiuliza kwanini Mbowe kaamua kumuachia Tundu Lisu Chama?
Kuna nini mbele? Naendelea kufanya utafiti ๐ผ