Ninaamini Kabisa Mbowe angetaka kuendelea na Uenyekiti angeendelea lakini kwanini kaamua kumuachia Tundu Lisu?

Ninaamini Kabisa Mbowe angetaka kuendelea na Uenyekiti angeendelea lakini kwanini kaamua kumuachia Tundu Lisu?

Wewe ni askari kanzu tu haya mambo ya deep ni next level 😂😂
Pole sana kijana wa chai aka kijiweni, i am more deep than you know. Difference is sion umuhimu wakuuliza sasa wakati lissu ameshapata wenye kiti.
If ungekuwa smart , swali lako lingekuwa relevant wkt wa uchaguzi, kabla ya matoke

Too late bro
 
Hebu amka kakojoe urudi kulala tena. Kama Mbowe angetaka kumuachia Lissu chama asingehangaika kugombea tena. Angejitoa au asingechukua fomu. Full stop!
Mkuu kumbuka kauli ya Mbowe mwenyewe, akisema, mimi, yeye ni mwanasiasa na nitafia kwenye siasa.
 
Pole sana kijana wa chai aka kijiweni, i am more deep than you know. Difference is sion umuhimu wakuuliza sasa wakati lissu ameshapata wenye kiti.
If ungekuwa smart , swali lako lingekuwa relevant wkt wa uchaguzi, kabla ya matoke

Too late bro
Huwezi elewa haya makitu bwashee 😄

Tuko Tarime tumekodi Abood na Mwamba kachangia 😂😂😂😂
 
Tofauti ya kura za ushindi ni ndogo, mwambieni Lissu aende pole pole
 
Deep gani unaijua boss, Mbowe hakusoma tu alama za nyakati, miaka 20+ bado anajilazimisha kuongoza!
Kama una Akili TIMAMU utagundua Mbowe alishaaga pale Mlimani City kabla Hata COVID 19 hawajateuliwa na Shujaa

U turn aliyopigishwa ni Prof Lipumba pekee Ndio anaielewa 😂

Tuko Tarime Friends of Mwamba Jumamosi Ikungi Singida Mashariki 😂😂😂
 
Ninamjua Freeman Mbowe kitambo sana na Nina uhakika kama angetaka kubaki Uongozini angebakishwa Kwa nguvu ya Mifumo mbalimbali

Ninachojiuliza kwanini Mbowe kaamua kumuachia Tundu Lisu Chama?

Kuna nini mbele? Naendelea kufanya utafiti 🐼

Acheni Mbowe atulie atafakari na atafute kasehemu ale Bata . Msimbughudhi Baba wa Demokrasia Tanzania .

Mbowe nimempa heshima mara kumi zaidi. Uchaguzi aliouasisi umekipaisha sana Chama .
Siasa za upinzani na CCM zilikua zimelala . Mbowe akatengeneza mazingira ya kuleta uchaguzi mkali wenye mvutano mkali sana.

Ingekuwa CCM mama pamoja na mapesa na dola yote asingepata hata kura 20% ndani ya chama chake labda angegombea na Stive Nyerere.😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom