Ninaamini Kabisa Mbowe angetaka kuendelea na Uenyekiti angeendelea lakini kwanini kaamua kumuachia Tundu Lisu?

Ninaamini Kabisa Mbowe angetaka kuendelea na Uenyekiti angeendelea lakini kwanini kaamua kumuachia Tundu Lisu?

Ninamjua Freeman Mbowe kitambo sana na Nina uhakika kama angetaka kubaki Uongozini angebakishwa Kwa nguvu ya Mifumo mbalimbali

Ninachojiuliza kwanini Mbowe kaamua kumuachia Tundu Lisu Chama?

Kuna nini mbele? Naendelea kufanya utafiti 🐼
Mipango ! 😅
Set up !
Mwaka huu 2025 utakuwa na mambo mengi ya kushangaza na yasiyotarajiwa !!
Ngoja Tusubiri tuone ! Mimi sio mtabiri kama Sheikh Yahya Hussein but if you take two and two together unaona kama kuna kaset-up fulani hivi kanatengenezwa kaje kawa-take watu by surprise 🤣🤣🤣 !

Lakini inawezekana kuwa tatizo langu ni kule kuwa na suspicious mind tu. 😂😅🤣 I was born like that !
Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥 🙏🙏
 
Tatizo la wengine ni kwamba baada ya ule mtanange kuwa wa vuta nikuvute na baada ya matokeo yale jamaa waliokuwa wakisaga kunguni ili mpasuko mkubwa ndani ya Chama utokee wakajikuta wameachwa kwenye mataa 🙄😳

Mpasuko uliotarajiwa haupo na haionekani kuwa utakuwepo tena !
Sasa wanajiuliza jamani kulikoni. ??!
Mbona imekuwa hivyo tena ?!
Tumechezwa shere. ??!
Maswali ni mengi majibu Kushney !!
Duh 🙄 ! Hii ni kazi kweli kweli !

Mimi niliandika humu kwamba Mbowe na Lissu wanaweza wakashindana lakini hawawezi kugombanishwa na yeyote yule !😳
 
Mbona hayo mambo ya kujadili watu binafsi, uchaguzi ulikwisha na kuna ajenda za sasa zipo zinaendelea, kwanini kurudisha watu nyuma, mke wa Lutu aligeuka nguzo ya chumvi kwa fikra kama hizi za kuangalia nyuma
 
Kweli !
 
Back
Top Bottom