Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Uchaguzi umeishaNinamjua Freeman Mbowe kitambo sana na Nina uhakika kama angetaka kubaki Uongozini angebakishwa Kwa nguvu ya Mifumo mbalimbali
Ninachojiuliza kwanini Mbowe kaamua kumuachia Tundu Lisu Chama?
Kuna nini mbele? Naendelea kufanya utafiti πΌ
Hawa UWT wana mambo ya ajabu snHebu amka kakojoe urudi kulala tena. Kama Mbowe angetaka kumuachia Lissu chama asingehangaika kugombea tena. Angejitoa au asingechukua fomu. Full stop!
Uchaguzi umeishaMbowe alikuwa na uwezo wa kushinda kama angetaka kufanya hivyo, na hata kutogombea pia, sema aliangalia maslahi ya CHADEMA zaidi kuliko maslahi binafsi, na alitaka kuuonyesha umma kuwa yeye ni Mwanademokrasia na atafia kwenye Demokrasia.
Wameshazoea kuiba kura wanashangaa jamaa kakosajeKamuachia au upepo haukuwa upande wake? Wapiga kura wamepiga kura mtu wanae mtaka. Full stop
Kafanyeni kazi
Lowassa hakuachiwa 2015? πCHADEMA hakuna kuachiana kama CCM
Kama Kanda ya Nyasa πWameshazoea kuiba kura wanashangaa jamaa kakosaje
Aligombea lini kuwa Mwenyekiti?Lowassa hakuachiwa 2015? π
CCM ni majangili tupuWameshazoea kuiba kura wanashangaa jamaa kakosaje
Umeandika kwa code mchanganyo.Ninamjua Freeman Mbowe kitambo sana na Nina uhakika kama angetaka kubaki Uongozini angebakishwa Kwa nguvu ya Mifumo mbalimbali
Ninachojiuliza kwanini Mbowe kaamua kumuachia Tundu Lisu Chama?
Kuna nini mbele? Naendelea kufanya utafiti πΌ
Alipewa Bure nafasi ya kugombea Urais iliyokuwa ya Dr SlaaAligombea lini kuwa Mwenyekiti?
Dr Slaa hakuwa mmiliki wa nafasi ya kugombea u-RaisAlipewa Bure nafasi ya kugombea Urais iliyokuwa ya Dr Slaa
Yupo bar muda huuUmeandika kwa code mchanganyo.
Mipango ! πNinamjua Freeman Mbowe kitambo sana na Nina uhakika kama angetaka kubaki Uongozini angebakishwa Kwa nguvu ya Mifumo mbalimbali
Ninachojiuliza kwanini Mbowe kaamua kumuachia Tundu Lisu Chama?
Kuna nini mbele? Naendelea kufanya utafiti πΌ
Sasa Lowassa mlimuuzia? πΌDr Slaa hakuwa mmiliki wa nafasi ya kugombea u-Rais
Samia ameshindanishwa na nani?Sasa Lowassa mlimuuzia? πΌ
Kwani ametokea Chadema? πSamia ameshindanishwa na nani?
Kweli !Mbona hayo mambo ya kujadili watu binafsi, uchaguzi ulikwisha na kuna ajenda za sasa zipo zinaendelea, kwanini kurudisha watu nyuma, mke wa Lutu aligeuka nguzo ya chumvi kwa fikra kama hizi za kuangalia nyuma