Ninaamini katika hizi tu ili mtu aweze kuongoza nafasi ya juu kabisa ya madaraka ya nchi lazima awe amesoma walau taaluma moja kati ya hizi

Uongozi sio taaluma ndomana kuna jopo la kumshauri rais .
Taaluma inamata mkuu, tumeona namna ambayo sheria zimepuuzwa, uchumi umegeuka siasa na mahusiano na jummuia ya kimataifa yamepuuzwa.
 
Taaluma inamata mkuu, tumeona namna ambayo sheria zimepuuzwa, uchumi umegeuka siasa na mahusiano na jummuia ya kimataifa yamepuuzwa.
Sheria haipo kwa ajili ya watu ila watu wapo kwa ajili ya sheria.
 
Sheria haipo kwa ajili ya watu ila watu wapo kwa ajili ya sheria.
Unasema nini wewe? Yaani sheria ipo kwa sababu ya watu ila si watu wapo kwa ajiri ya sheria.
 
yie vij
Unasema nini wewe? Yaani sheria ipo kwa sababu ya watu ila si watu wapo kwa ajiri ya sheria.
Hivi vitu vingine inabidi muwe mnawauliza walimu wenu kwanza.
 
yie vij
Unasema nini wewe? Yaani sheria ipo kwa sababu ya watu ila si watu wapo kwa ajiri ya sheria.
Hivi vitu vingine inabidi muwe mnawauliza walimu wenu kwanza.
 
Tengeneza katiba yako yenye vigezo ulivyotaja. Wakati mwingine unapaswa kufikiri vizuri kabla ya kuandika utopolo.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Hao hao wanasheria si ndiyo huwa wanasaini mikataba ya hovyo hovyo kila siku mpaka tusio kuwa na elimu ya Sheria tuna shangaa kabisa! Wakati mwingine uongozi si taaluma ulizosema hapo! Hayati Mkapa ni mwandishi wa habari kazunguka huko kaja malizia kwenye urais!
 
Nje na unahabari Mkapa alikuw Mwanadiplomasia mkuu.
 
Rais ni Taasisi, Sasa Hapa Tz rais ni mtu ambaye anajua kila kitu
- mwanasheria
- mhandisi wa mitambo, umeme, ujenzi na nk
-astronomy
- mchumi
- mpiga mbizi
-mwanamuziki
-dancer
- mwanamieleka
-mwana Kung Fu na n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkumbusheni huyo jamaa IDD Amini hivi alisoma nini
Na wewe jiulize aliipeleka. Wapi Uganda?

Mwisho wake ulikuwa nini???

Alikuwa na faida gani kwa uchumi wa Uganda??

Alifia wapi na alizikwa wapi??? Ahaaa 😂😂🤣🤣🤣
 
Ila walimu wana jazba sana, kila kitu wao kufoka tu. Kuishi na watoto kunawaathiri sana ki psychologia.

Ila naamini hakuna elimu mbaya.

Kiongoxi ni mtu sio elimu yake.
 
Umesahau history na uraia.

Hayo masomo yana msaada sana kujua tutokapo, tulipo na tuendapo.
 
Angela Dorothea Merkel
Germany Chancellor ( since 2005)
Physcal Chemistry ( Quantum Chemist) ( PhD)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…