G gregsanga Member Joined Oct 24, 2007 Posts 72 Reaction score 9 Sep 5, 2015 #1 Hello wana JF. Nina kama miezi miwili na nusu au mitatu ninabanja sana mpaka aibu nitumie dawa gani?. 2.Ninavuta sigara aina ya SM nimejaribu pia kuacha nashindwa. Nisaidieni ushauri na ikiwezekana tiba.
Hello wana JF. Nina kama miezi miwili na nusu au mitatu ninabanja sana mpaka aibu nitumie dawa gani?. 2.Ninavuta sigara aina ya SM nimejaribu pia kuacha nashindwa. Nisaidieni ushauri na ikiwezekana tiba.
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Sep 5, 2015 #2 Umepima vvu?!
K KAMANDA MKUBWA JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 288 Reaction score 78 Sep 5, 2015 #3 Nenda hospitali, watapima hayo makohozi na ulivyosema unavuta sigara kuna uwezwkano ukaugua kifua kikuu, wahi sasa hospitali kama ni hicho kinatibika.
Nenda hospitali, watapima hayo makohozi na ulivyosema unavuta sigara kuna uwezwkano ukaugua kifua kikuu, wahi sasa hospitali kama ni hicho kinatibika.
K KAMANDA MKUBWA JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 288 Reaction score 78 Sep 5, 2015 #4 kakajambazi said: umepima vvu?! Click to expand... anatakiwa apime makohozi pamoja na vvu
queenblack94 JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 453 Reaction score 28 Sep 6, 2015 #5 Mkuu nitafute tiba ipo ilo tatizo lako sio la kuzembea
queenblack94 JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 453 Reaction score 28 Sep 6, 2015 #6 Sigara sio nzur kabisa unazid kuaribu mapafu yako nitafute0717556768 Kwa msaada wa kimatibabu unapona kabisa pia sigara sio nzur ksbisa
Sigara sio nzur kabisa unazid kuaribu mapafu yako nitafute0717556768 Kwa msaada wa kimatibabu unapona kabisa pia sigara sio nzur ksbisa