Ninabanja (kutoa makohozi) kwa muda mrefu sasa

Ninabanja (kutoa makohozi) kwa muda mrefu sasa

gregsanga

Member
Joined
Oct 24, 2007
Posts
72
Reaction score
9
Hello wana JF.

Nina kama miezi miwili na nusu au mitatu ninabanja sana mpaka aibu nitumie dawa gani?.

2.Ninavuta sigara aina ya SM nimejaribu pia kuacha nashindwa.

Nisaidieni ushauri na ikiwezekana tiba.
 
Nenda hospitali, watapima hayo makohozi na ulivyosema unavuta sigara kuna uwezwkano ukaugua kifua kikuu, wahi sasa hospitali kama ni hicho kinatibika.
 
Sigara sio nzur kabisa unazid kuaribu mapafu yako nitafute0717556768 Kwa msaada wa kimatibabu unapona kabisa pia sigara sio nzur ksbisa
 
Back
Top Bottom