Ninachojua kuhusu Dhamana za Serikali za muda mfupi /T Bills

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
1. Dhamana za muda mfupi zinaitwa Tresury Bonds au T bills✅

2. Ni uwekezaji kama wa hisa✅

3. Hazina kodi ✅

4. Huwezi chukua muda wowote✅

5. Zinauzwa siku maalumu✅

6. Ni za serikali siyo binafsi✅

7. Watu wengi. hawaujui kabisa aina hii ya uwekezaji✅

8.Dhamana za muda mref zinaitwa Premium wakat za muda mfupi T bills✅

9.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…