Ninachojua kuhusu kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe

Ninachojua kuhusu kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe

Nadhani wanasiasa wa ccm wanawashika watanzania makalio Tena pale tunduni.
 
"mwengine atakayefanya usitawale kwa utulivu ni Mbowe". Magufuli alisema, "muueni tu" lakini Usalama wakamwambia, "hapana, italeta taswira mbaya kimataifa, huyu mfunge tu".
Maneno mazito sana haya.
 
Wanabodi, ninajua wengi tunashangaa sana imekuwaje mfanyabiashara na mwanasiasa Freeman Mbowe kufunguliwa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi.

Ukweli ni kwamba, mwaka 2017 baada ya jaribio la kumuua Lissu kushindikana, target ya pili alikuwa ni Mbowe baada ya TISS kumshauri Magufuli, "mwengine atakayefanya usitawale kwa utulivu ni Mbowe". Magufuli alisema, "muueni tu" lakini Usalama wakamwambia, "hapana, italeta taswira mbaya kimataifa, huyu mfunge tu". Toka hapo mchakato wa kumfunga Mbowe ulianza na ilikuwa ukamilike mara tu baada ya Uchaguzi wa 2020. Rais Samia amekuta faili hilo likiwa juu kabisa mezani akiambiwa, "haya ni maamuzi ya Usalama wa Taifa". Samia angefanyaje? Mnadhani binafsi haumii kumuona binti wa Mbowe akilia kortini?
Kama mkuu wa nchi hana uamuzi wa kusema hiki sawa na hiki siyo sawa?

Inakuwaje akubali wakati jambo analiona ni la kubuumba?

Kama ni kweli basi watakuwa walimpoteza kimawazo maana kuua upinzani haimaanishi kumfunga kiongozi wao.

Upinzani upo mioyoni mwa watanzania wapenda mageuzi ya kweli.

Labda watuuwe woote tuishe ndiyo upinzani utaisha.
 
Acha hadithi za vijiweni.Mm nilifikiri una ushahidi kibao.Kumbe huna lolote zaidi ya hadithi za kutunga.Kichwa cha habari kikubwa unatuandikia utopolo tupu.Usipende kutupotezea muda kwa vihadithi feki feki vya kuunga unga.
Ebu kanawe miguu upinduke tu maana hata kitanda huna
 
Wanabodi, ninajua wengi tunashangaa sana imekuwaje mfanyabiashara na mwanasiasa Freeman Mbowe kufunguliwa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi.

Ukweli ni kwamba, mwaka 2017 baada ya jaribio la kumuua Lissu kushindikana, target ya pili alikuwa ni Mbowe baada ya TISS kumshauri Magufuli, "mwengine atakayefanya usitawale kwa utulivu ni Mbowe". Magufuli alisema, "muueni tu" lakini Usalama wakamwambia, "hapana, italeta taswira mbaya kimataifa, huyu mfunge tu". Toka hapo mchakato wa kumfunga Mbowe ulianza na ilikuwa ukamilike mara tu baada ya Uchaguzi wa 2020. Rais Samia amekuta faili hilo likiwa juu kabisa mezani akiambiwa, "haya ni maamuzi ya Usalama wa Taifa". Samia angefanyaje? Mnadhani binafsi haumii kumuona binti wa Mbowe akilia kortini?
UNACHEKESHA KWELI YAANI UNASEMA UTAFIKIRI ULIKUWEPOKWENYE HICHO KIKAO NA MAGUFULI MBOWE NI GAIDI ONA KULE MAHAKAMANI ANAVYOKAANGWA NA WALINZIWAKE
 
Chief Hangaya afunge jalada hiyo kesi ni aibu......aibu aibu sibu pia Mama hutapata haki mvele Mungu sababu hutendi haki.....kisa utawala wa duniani? Katiba ni mali watanzania wote mil 60 lazima ije itengenezwe mpya leo kesho keshokutwa lazima.....hata ukimuua Mbowe katiba its a must
Ubarikiwe sana
 
Nakuona upo kazini
828051330.jpg
 
Kesi ya MBOWE,kwanza mashtaka yalikosewa jaji luvanda akaamrisha yarekebishwe Kisha akajitoa.

Akateuliwa jaji Siyani naye akapokea kielelezo kilichopatikana kwa njia haramu Kisha naye akajitoa.

Sasa Leo yupo Jaji Tiganga hatujui na yeye anakuja kufanya lipi ili ajitoe,kiufupi MBOWE anakwenda kufungwa mchana kweupe.
Kwa hiyo Mbowe akifungwa ndiyo kero za wamachinga zitapatiwa ufumbuzi?
 
Usalama walimshauri Magufuli akiwa raisi Mbowe atamsumbua katika utawala wake amshugulikie na akatoa hizo baraka (suppose motive ya misuko misuko ya Mbowe, hayati asisumbuliwe). Bahati mbaya Magufuli akadondoka

Haya apparently ili Mbowe ashughulikiwe usalama walihitaji baraka za raisi, na raisi wa leo ‘mama’ ina maana yeye ndio katoa hizo baraka za Mbowe kufungwa au?

Hapohapo unatuambia usalama walishaamua.

Sasa kipi ni kipi Magufuli aliamua Mbowe ashughulikiwe? au usalama tu waliamua kumshughulikia Mbowe, if so Magufuli anaingia vipi.

Na kwanini waombe ridhaa ya kumshughulikia Mbowe, wakati ya hayati kwa malengo ya kumraisishia uongozi wake.

Halafu watekelezee agenda hiyo chini ya mama bila ya baraka zake?

Vitu vingine tukubali havina influence za juu ni sheria tu za nchi. Sio kutunga story za kitoto ambazo hazina kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom