Ninachojua kuhusu kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe

Nadhani wanasiasa wa ccm wanawashika watanzania makalio Tena pale tunduni.
 
"mwengine atakayefanya usitawale kwa utulivu ni Mbowe". Magufuli alisema, "muueni tu" lakini Usalama wakamwambia, "hapana, italeta taswira mbaya kimataifa, huyu mfunge tu".
Maneno mazito sana haya.
 
Kama mkuu wa nchi hana uamuzi wa kusema hiki sawa na hiki siyo sawa?

Inakuwaje akubali wakati jambo analiona ni la kubuumba?

Kama ni kweli basi watakuwa walimpoteza kimawazo maana kuua upinzani haimaanishi kumfunga kiongozi wao.

Upinzani upo mioyoni mwa watanzania wapenda mageuzi ya kweli.

Labda watuuwe woote tuishe ndiyo upinzani utaisha.
 
Acha hadithi za vijiweni.Mm nilifikiri una ushahidi kibao.Kumbe huna lolote zaidi ya hadithi za kutunga.Kichwa cha habari kikubwa unatuandikia utopolo tupu.Usipende kutupotezea muda kwa vihadithi feki feki vya kuunga unga.
Ebu kanawe miguu upinduke tu maana hata kitanda huna
 
UNACHEKESHA KWELI YAANI UNASEMA UTAFIKIRI ULIKUWEPOKWENYE HICHO KIKAO NA MAGUFULI MBOWE NI GAIDI ONA KULE MAHAKAMANI ANAVYOKAANGWA NA WALINZIWAKE
 
Ubarikiwe sana
 
Kwa hiyo Mbowe akifungwa ndiyo kero za wamachinga zitapatiwa ufumbuzi?
 
Usalama walimshauri Magufuli akiwa raisi Mbowe atamsumbua katika utawala wake amshugulikie na akatoa hizo baraka (suppose motive ya misuko misuko ya Mbowe, hayati asisumbuliwe). Bahati mbaya Magufuli akadondoka

Haya apparently ili Mbowe ashughulikiwe usalama walihitaji baraka za raisi, na raisi wa leo ‘mama’ ina maana yeye ndio katoa hizo baraka za Mbowe kufungwa au?

Hapohapo unatuambia usalama walishaamua.

Sasa kipi ni kipi Magufuli aliamua Mbowe ashughulikiwe? au usalama tu waliamua kumshughulikia Mbowe, if so Magufuli anaingia vipi.

Na kwanini waombe ridhaa ya kumshughulikia Mbowe, wakati ya hayati kwa malengo ya kumraisishia uongozi wake.

Halafu watekelezee agenda hiyo chini ya mama bila ya baraka zake?

Vitu vingine tukubali havina influence za juu ni sheria tu za nchi. Sio kutunga story za kitoto ambazo hazina kichwa wala miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…