Ninachokijua Kuhusu Maisha Binafsi Ya Freeman Mbowe.


Sisi wakristo mke ni mmoja hata kama mmeachana atatambulishwa tu kama mkeo.
 
Ni aibu sana kwa viongozi wanaojipambanua kuwa wanataka wapewe nchi, lakini uongozi ngazi ya familia wamefeli.

Kaka, Uongozi Mzuri Ngazi Ya Familia Ndio Unaweza Ukakufanya Uachane Na Mumeo Au Mkeo, Kuna Mambo Ambayo Unaweza Ukamuonya Na Asikubaliane Na Wewe Na Akaamua Muachane.. Sisi Tukikulaumu Wewe Kuwa Mke Amekushunda Tutakuwa Tunakutendea Haki?
 
This is takataka.Ni mahakama gani iliyotengua ndoa ya mbowe na lilian?Wewe ni mmbea.
 

hapo ndo pana utata mkuu hapa badala ya kumsafisha Mbowe ndo wanazidi kumpaka matope
 
Du! Upuuzi mwingine ni aibu hata kuujadili, familia ya mbowe inatuhusu nini sisi tunaotaka mabadiliko?
 
Kwahiyo CDM Mwenyekiti wake na Katibu wake Ndoa zimewashinda???wanaishi na Maawala!!!

Kweli nyani haoni k.undule,
unazungumzia mambo ya viiongozi wa CDM iilihali viingozi wa CCM hili ndo janga kuu, anza na kiongozi wa juu wa CCM hadi yule ngazi ya shina utashangaa...!

Kina Vick Kamata imekuwwaje sii katoka mburudishaji wa muziki hadi kuwa mburudishaji wa ngono wa nanihii au unadhani ni siri.......? mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
 
Kwani wasemaji wa CDM wamepewa mamlaka ya kuzungumza ya chumbani ya maboc wao?
 
haya wenye kusikia wasikie si kupiga kelelel tu , watu wanataka wasikie alimtelekeza basi na si mengine. kumbe opposite is the case, mbowe komaa mkuu , ma ccm wanakuwinda
 
Kwahiyo JOYCE MUKYA alipata ubunge wa viti maalum kupitia Mbowe? Kama Rose Kamili alivyopata kiti maalum kupitia Dr.Slaa, au Christina Lissu kupitia Tundu Lissu na Mtoto na Mkwe wa Ndesamburo kupitia baba yao. Kweli CHADEMA mnajuana haswa!
ukileta Hayo Kwa ccm c ndo utachoka kabisa
 

Hata hujui kudanganya, hii link ina picha za matukio ya Mbowe na familia yake, Mbowe, mke wake na watoto na hizi picha ziliwekwa tarehe 14 December 2011 na wewe unatuambia kuwa waliachana 2008!!!!!

link: matukio-michuzi: Mbowe asherehekea jubilei ya miaka 50 kwa harambee ya ujenzi wa kanisa na msikiti jimboni kwake
 
umelipwa shilingi ngapi?

Hahahahaaaa, ujue umenichekesha mpaka machozi yanitoka. Vp keshajibu?? Maana naona anayajua maisha binafsi ya bwana mbowe kuliko yeye anavyojijua. Lkn hata hivyo anatutanabahisha kwamba Mbowe amekuwa MZINIFU tu baada ya kuachana na huyo Lilian kwa sababu kasema toka ameachana na mkewe amekuwa na mahusiano ya wazi ya kimapenzi na Joyce Mukya. Nasema hivyo kwa sababu kiukweli kama hujaoa na bado unatembea na mtu huo ni UZINZI
 
This is takataka.Ni mahakama gani iliyotengua ndoa ya mbowe na lilian?Wewe ni mmbea.

Wewe vp? Ndoa kwani mpaka mahakamani ndg yangu? Kwani mbowe hana dini mpaka aende mahakamani kama mpagani!
 
Kwani mwenyewe yupo? Au wewe ni msemaji wake basi sema na la NHC na NSSF yaonesha unamajibu yote kama la ndoa unalo y? Mengine ukose type...
 
Ni aibu sana kwa viongozi wanaojipambanua kuwa wanataka wapewe nchi, lakini uongozi ngazi ya familia wamefeli.
mkuu kama ni kwa kipimo hicho tusingepata viongozi kwa taifa letu kamwe! Viongozi wengi wa kitaifa record yao ya kimapenzi ni chafu kuliko! Hatari toka aliyepanga ikulu mpaka mtaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…