MEA-MTWARO
Senior Member
- May 15, 2013
- 128
- 40
Ninachokiona ni kwamba, Rais Samia ni Rais aliyeingia katika nyoyo za watu.
Ni Rais anayekonga nyoyo za watu.
Ni Rais anayefanya mambo na yanaokena. Anafanya maendeleo ya vitu na Watu.
Ni Rais anayegusa maisha ya watu moja Kwa moja
Ni Rais anayependwa na watu kutoka katika mioyo Yao Kwa dhati kabisa na Si Kwa unafiki au Kwa kusaka vyeo.
Ni Rais anayesikiliza na kushaurika.
Huenda ni Rais wa kwanza Duniani kuheshimu Sheria na Katiba.
Ni Rais anayethamini utu wa binadamu.
Ni Rais mwenye upendo Kwa Raia wake.
Ni Rais anayeona mbali sana.
Ni Rais anayeamini kuwa Urais wake ni Wa Watu na watu ndo wanaweza kuchukua Urais wake.
Ni Rais anayejua kwamba, kuwa Rais hakujampa kuwa Malaika. Bado anaamini kuwa yeye ni Binadamu.
Ni Rais atakayekumbukwa na kuandikwa sana na watu.
Ni Rais atakayeipaisha zaidi Tanzania.
She is a true and Visionary leader in the Present time.
Naiona Tanzania ikiwa ni nchi yenye Kila Kitu. Mungu anamtumia Mama kuiinua Tanzania.
Go on Our Mama. We love you Mama