Ninachokiona ni vita Baridi baina ya Masikini na Matajiri hapa Tanzania

Kuna Jamaa litakuja kucomment[emoji116]
" mama anaupiga mwingi"
 
Wajiulize na wakipata jibu itawarahisishia wanaojipanga kuwatetea, ni kazi nzito kuwatetea watu ambazo hawajui kama wanahitaji Hali nzuti zaidi na ni Haki Yao!
Mkoloni alipowatesa waafrika aliwafananisha na nyani, akaudhalilisha utamaduni wao na kuwafanya kwa Kila Hali wajione hawafai mbele ya watu weupe! Hivyo ilikuwa ni kazi sambamba na kupigsnia uhuru wakina Nyerere, Kaunda, Kenyata, Lumumba, na wengine wengi kuwapa elimu ya kujitazama upya bila hivyo wasingeamka na kuunga mkono jitihada za uhuru wao wenyewe; kiongozi yeyote anaetaka kukomboa utumwa huu wa umasikini ni lazima akumbuke zile kauli za ," Tanzania sio masikini ni tajiri" ," sisi sio masikini ", na aelewe zililenga Nini kusudi watu waunge mkono jitihada za "HAPA KAZI TU".
Inawezekana , kwa kiongozi ama viongozi wenye akili Kali kuwaelimisha watu na kuwaongoza kujikomboa, siku zote hakuna UKOMBOZI bila elimu sahihi ya kuwatoa watu Giza linalowaletea utumwa!
 

Sasa kila Kiongozi anafalsafa yake. Huwezi kulazimisha Falsafa ya Nyerere au Magufuli iwe Falsafa ya Mama
 
Mimi mwenyewe nikiona tajiri anafirisika nafurahi Sana ,tena hata Kama sijala njaa inaisha ...

Yaani wengine watembelee kwenye v8 sis tunapigwa na jua tunashindia mihogo ya Jero na pepsi bigii moja .....
Kuna aliyekuzuia na wewe kutembelea V8?
 
Uliyoyaandika ni kweli 95%
 
Kabisa watz wote mafukara tu
 
Kabisa watz wote mafukara tu
 
mama ameamua kuwa upande wa matajiri kaamua kuachana na masikini tunatakiwa kuwanyoosha wakati wa uchaguzi

Kwani Magufuli alimtetea maskini gani zaidi ya propaganda za kubrainwash watu?
 
Uchambuzi gani huu wa ovyo tu hata huelewi. Vita baridi ni kwa sababu matajiri wakubwa wanawanyonya masikini. Masikini wanakua masikini kwa kunyonywa na matajiri. Hapa tuna maana ya wawekezaji kunyonya nguvu kazi au mabwanyenye wa ardhi kuwanyonya wakulima wadogo. Tofauti yya kipato kwa bidii na akili ya mtu sio hoja hapa. Ni pale unakuta matajiri wanawageuza masikini mtaji na kuwanyonya. Ni pale nchi imeshikwa na tabaka la matajiri na kudhulumu kwa umoja wao haki za masikini.
 


Wewe ulitakaje sasa??
 
mama ameamua kuwa upande wa matajiri kaamua kuachana na masikini tunatakiwa kuwanyoosha wakati wa uchaguzi

Kwani Magufuli alimtetea maskini gani zaidi ya propaganda za kubrainwash watu?


Masikini walitetewa ndivyo wasemavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…