Ninachokiona sasa hivi kwenye account ya Facebook ya Queen Darleen inasikitisha sana, Serikali imuwajibishe

Ninachokiona sasa hivi kwenye account ya Facebook ya Queen Darleen inasikitisha sana, Serikali imuwajibishe

Ile link sio ya udukuzi kweli? Sema Ile story ya kwanza Mamake
 
Hata kama account feki je hizo picha za kujiuza ni zake au sio zake?
 
Mtoa post umeleta hii mada ukiamini kuwa ile Ni really acount ya queen.! Na kigezo ulicho tumia Ni ile blue tik.?

Nikuulize ukiachana na ile blue tiq una uhakika gani kua ile acount niya huyo unae mshutumu.?
 
Mimi mambo ya Fb ndo nilishashindwa kila nikitaka kujiunga naacha
 
Back
Top Bottom