Wewe ni mnafiki sana. Sina hata lugha sahihi ya kuielezea PhD yako ya unafiki uliotukuka.
Magu katesa wengi,katesa familia nyingi,kauwa wengi direct or indirect.Hakuwa na utu.mnyama yule.alifurahia mateso ya watu.
Ni hayawani tu km wewe anaweza kumsifu yule dictator, kwamba watuwafe,wafilisiwe,wabambikiziwe uhujumu uchumi na Kodi ili yeye ajenge miundombinu.
Watu wastaafu wasilipwe stahiki zao ili ajenge barabara kwamba yeye Ni rais jasiri.
Univunjie nyumba yangu nilijenga kwa uchungu mwingi,nikose pa kuishi.Sikuijenga eneo lisilostahili, kiwanja kimepimwa,sikujenga ktk hifadhi ya barabara,bila fidia hata senti moja. Eti ili uitwe rais mwenye ujasiri.umeleta maendeleo.
Na hayawani km mtoa post anakuja anasifu na kuabudu.mshenzi wewe.
Nafikiri sasaivi atakuwa anaandaa mpango wa kura feki ktk uchaguzi wa KIONGOZI WA MALAIKA huko mbinguni ili aweze kupita kwa kishindo na kuufuta upinzani wa malaika.
Sijajua mpango wa mbunge DEO SANGA kutaka aongezewe muda madarakani umefikia wapi,na mpango wa kumlazimisha hata km hataki umefikia wapi. Nafikiri mchakato utakuwa unaendlea.
Wimbo: imba ...hakuna mungu km wewe Yahweeeehhh.....wa upendoo.......
Wee jamaa niache nimtukuze huyu mungu asiyepokea hongo.