Ninachoona, ligi yetu ndiyo imezikwa rasmi kuanzia jana

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Sioni namna Simba itakavyokubali tena kuendelea kunyanyaswa ili yanga wapate ubingwa.

Yanga hawawezi kucheza mpira kihalali ni lazima watumie mbinu nyingi za hovyo kwa msaada wa vyombo vyote vikiwemo vya serikali. Simba wamekataa kuwa wanyonge maana wanataka mpira uchezwe sio figisu nje ya uwanja na kupitia waamuzi.

Kutokana na msimamo wa Simba kugomea mechi,yanga nao hawakubali tena kupangiwa siku nyingine kwa vile watalazimika kuwekeza tena nje ya uwanja kabla ya mechi nyingine.

Kutokana na mvutano huu,na aina ya viongozi waliopo yanga na Simba ni kama wote hawana akili ya kufikiria vizuri matokeo ya maamuzi yao.

Hivyo, ninaona ni wazi hizi timu kuna uwezekano wa kususa kucheza ligi ama kuendeleza mapambano dhidi ya mamlaka za soka.

Ninachokiona mbele, umefika mwisho wa ubora wa ligi, na sijui kama utakuja kurudi tena kwenye ubora wake hivi karibuni.

GSM amefanikiwa sana kwa msaada wa mabilioni yanayochepushwa kutoka serikalini, kutengeneza ufalme wa yanga nje ya uwanja, na kuua soka la ushindani ndani ya uwanja, na kuufanya mchezo wa soka kama maigizo ambayo tunajua mwisho wa picha utakuwaje.

Sisi wengine tungependa mamlaka wawe wakali hasa kwenye kanuni, bila kujali nani amekosea. Kosa la kuizua timu kufanya mazoezi kabla ya mechi liwe na adhabu kali sio faini milioni moja.

Makosa yanayoashiria ushirikina kama kupita geti lisiloruhusiwa yawe na adhabu kali sio faini ya milioni moja iwe hata milioni 300.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Sioni namna Simba itakavyokubali tena kuendelea kunyanyaswa ili yanga wapate ubingwa.
Yanga hawawezi kucheza mpira kihalali ni lazima watumie mbinu nyingi za hovyo kwa msaada wa vyombo vyote vikiwemo vya serikali.
Simba wamekataa kuwa wanyonge maana wanataka mpira uchezwe sio figisu nje ya uwanja na kupitia waamuzi.
Kutokana na msimamo wa Simba kugomea mechi,yanga nao hawakubali tena kupangiwa siku nyingine kwa vile watalazimika kuwekeza tena nje ya uwanja kabla ya mechi nyingine.
Kutokana na mvutano huu,na aina ya viongozi waliopo yanga na Simba ni kama wote hawana akili ya kufikiria vizuri matokeo ya maamuzi yao.
Hivyo,ninaona ni wazi hizi timu kuna uwezekano wa kususa kucheza ligi ama kuendeleza mapambano dhidi ya mamlaka za soka.
Ninachokiona mbele,umefika mwisho wa ubora wa ligi,na sijui kama utakuja kurudi tena kwenye ubora wake hivi karibuni.

GSM amefanikiwa sana kwa msaada wa mabilioni yanayochepushwa kutoka serikalini,kutengeneza ufalme wa yanga nje ya uwanja,na kuua soka la ushindani ndani ya uwanja,na kuufanya mchezo wa soka kama maigizo ambayo tunajua mwisho wa picha utakuwaje.

Sisi wengine tungependa mamlaka wawe wakali hasa kwenye kanuni,bila kujali nani amekosea.Kosa la kuizua timu kufanya mazoezi kabla ya mechi liwe na adhabu kali sio faini milioni moja.

The end of NBC premier league
 
Kwa hiyo wewe ndiyo unajua sana kuliko kiongozi wako Kaduguda siyo?
 
Attachments

  • VID-20250308-WA0015.mp4
    3.2 MB

Wahuni sio watu Waziri , wana muharibia Mama na Waziri Husika
 
Yanga hawawezi kucheza mpira kihalali ni lazima watumie mbinu nyingi za hovyo kwa msaada wa vyombo vyote vikiwemo vya serikali.
Simba mna matatizo sana.

Nilishalisema hili tatizo la mpira bongo linasababiswa na Simba.

Simba anashindana na Yanga huku akiwa na imani kwamba Yanga ni timu ya kawida na haishindi kihalali.

Simba hawataki na wamegoma kabisa kuiheshimu Yanga na kukubali kwamba Yanga kwa sasa ni bora zaidi yao.

Simba wakilikubali hili na wakajipanga kama ambavyo Yanga ilijipanga kwa kufanya usajili mzuri kipindi Simba hiko vizuri kuliko Yanga ligi yetu itachezeshwa kwa amani sana.

Hivi mtu na akili zako timamu utasemaje Yanga hawachezi mpira kihalali!

Timu iliyotoka kucheza fainali ya shirikisho.

Timu iliyomvimbia mamelodi na kutolewa kwa figisu za kukataliwa goli la wazi kabisa kuna mtu anasema haishindi kihalali kama sio uwendawazimu ni nini?

Simba acheni mambo ya hivyo imarisheni kikosi chenu hili muweze kushindana na Yanga.

Kutaka kushinda kivyovyote hata kwa kuonga marefa ni kuharibu ligi yetu.
 
Huo ubora wa Yanga unaoizidi Simba unapima Kwa game hizi za GSM kufadhili Timu 8 kwenye ligi? Kwa figisu hizi za GSM kupeleka motisha Kwa Timu wanazodhania zina uwezo wa kuizuia Simba isipate points3? Kwa kuandaa Timu nyingine kama spare Timu ya Yanga namaanisha SINGIDA BLACK STARS? Mbona takwimu za kimataifa zinawakataa ukilinganisha na zile za simba
 
Sioni namna Simba itakavyokubali tena kuendelea kunyanyaswa ili yanga wapate ubingwa.
Yanga hawawezi kucheza mpira kihalali ni lazima watumie mbinu nyingi za hovyo kwa msaada wa vyombo vyote vikiwemo vya serikali.
Simba wamekataa kuwa wanyonge maana wanataka mpira uchezwe sio figisu nje ya uwanja na kupitia waamuzi.
Kutokana na msimamo wa Simba kugomea mechi,yanga nao hawakubali tena kupangiwa siku nyingine kwa vile watalazimika kuwekeza tena nje ya uwanja kabla ya mechi nyingine.
Kutokana na mvutano huu,na aina ya viongozi waliopo yanga na Simba ni kama wote hawana akili ya kufikiria vizuri matokeo ya maamuzi yao.
Hivyo,ninaona ni wazi hizi timu kuna uwezekano wa kususa kucheza ligi ama kuendeleza mapambano dhidi ya mamlaka za soka.
Ninachokiona mbele,umefika mwisho wa ubora wa ligi,na sijui kama utakuja kurudi tena kwenye ubora wake hivi karibuni.

GSM amefanikiwa sana kwa msaada wa mabilioni yanayochepushwa kutoka serikalini,kutengeneza ufalme wa yanga nje ya uwanja,na kuua soka la ushindani ndani ya uwanja,na kuufanya mchezo wa soka kama maigizo ambayo tunajua mwisho wa picha utakuwaje.

Sisi wengine tungependa mamlaka wawe wakali hasa kwenye kanuni,bila kujali nani amekosea.Kosa la kuizua timu kufanya mazoezi kabla ya mechi liwe na adhabu kali sio faini milioni moja.
Makosa yanayoashiria ushirikina kama kupita geti lisiloruhusiwa yawe na adhabu kali sio faini ya milioni moja iwe hata milioni 300.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kuna watu nchi hii mnakera na huwa mnatafuta kutukanwa tu.
Kwa huu ujinga wako naweza kusema wewe ni mpambavu. Nisamehe
 
Usirias katika NBCPL utakuwepo ikiwa siku moja Simba au Yanga mmojawapo akapewa adhabu ya kushushwa daraja kama ilivyowahi kutokwa Italy Juventus ilivyoshushwa daraja. Bila ya hivyo, watakuwa wanaendeleza siasa na ubabaishaji kwa kila timu kutegemea utetezi kutoka serikalini huku wakiathiri soka la bongo ambalo limekuwa likipendwa.

Huo ubora wa Yanga unaoizidi Simba unapima Kwa game hizi za GSM kufadhili Timu 8 kwenye ligi?
Yanga ameifunga Simba mara nne mfululizo,je Simba nayo inadhaminiwa na GSM?

Wewe usiyedhaminiwa na GSM unashindwa kuonesha mfano bora kwa kuifunga Yanga cha ajabu unataka wenzako waifanye kazi ambayo wewe imekushinda.
Kwa figisu hizi za GSM kupeleka motisha Kwa Timu wanazodhania zina uwezo wa kuizuia Simba isipate points3?
Motisha sio kosa kisheria mwambieni tajiri wenu atoe motisha na yeye hajazuiliwa.

Mbona ujalalamikia motisha ya goli la mama na kuona ni kitu kibaya zaidi mkawa mnafurahi tu mkishainda goli nyingi kwamba mtapata pesa nyingi.
Kwa kuandaa Timu nyingine kama spare Timu ya Yanga namaanisha SINGIDA BLACK STARS?
Japo ujaweka vigezo vya kuonesha kivipi Singida ni timu spare ya Yanga acha mimi nikuwekee vigezo.

1.Wachezaji wa Singida kwenda Yanga.

2.Yanga kumchukua kocha wa singida.

Hii pia sio hoja hata ninyi Simba mmenufaika sana na wachezaji kutoka Azam na mlikuwa mnawachukua kadri ya mnavyotaka wachezaji hao wanajulikana.

Kuhusu kocha hata ninyi mna timu tenu(Costal) ambaye kocha wake Mgunda mlikuwa mnamchukua mnavyotaka mkifukuza makocha wenu.

Mbona takwimu za kimataifa zinawakataa ukilinganisha na zile za simba
Una takwimu gani ambazo zinatukataa kuliko Simba?

Yanga kacheza fainali ya Shirikisho msimu wa 2022/2023 wewe umecheza fainali ya nini?

Au kuishia robo fainali klabu bingwa nayo ni rekodi ya mafanikio?
 
Hizi club zimekuwa na fedha za kutosha Kwa Sasa, adhabu za pesa ziongezwe maradufu. Adhbu ya chini isipuoungue Dola laki Moja. Na zilipwe Kwa kipindi kifupi bila kukosa.
 
Simba mna matatizo sana.

Nilishalisema hili tatizo la mpira bongo linasababiswa na Simba.

Simba anashindana na Yanga huku akiwa na imani kwamba Yanga ni timu ya kawida na haishindi kihalali.

Simba hawataki na wamegoma kabisa kuiheshimu Yanga na kukubali kwamba Yanga kwa sasa ni bora zaidi yao.

Simba wakilikubali hili na wakajipanga kama ambavyo Yanga ilijipanga kwa kufanya usajili mzuri kipindi Simba hiko vizuri kuliko Yanga ligi yetu itachezeshwa kwa amani sana.

Hivi mtu na akili zako timamu utasemaje Yanga hawachezi mpira kihalali!

Timu iliyotoka kucheza fainali ya shirikisho.

Timu iliyomvimbia mamelodi na kutolewa kwa figisu za kukataliwa goli la wazi kabisa kuna mtu anasema haishindi kihalali kama sio uwendawazimu ni nini?

Simba acheni mambo ya hivyo imarisheni kikosi chenu hili muweze kushindana na Yanga.

Kutaka kushinda kivyovyote hata kwa kuonga marefa ni kuharibu ligi yetu.
Wala usipate nao tabu, wapo shikirikisho wathibitishe kwanza ubora wao wafike fainali kama Yanga ndio tunaweza kuongea nao kitu.
 
UMEANDIKA HOJA.

Ila usiwe Serious sana na hii nchi.
imejaza wajinga na wapumbavu wengi mno

Watu wanawaza simba na Yanga 24hrs.
MTU ANABISHANA SIMBA NA YANGA HADI MISHIPA YA FAHAMU INAMTOKA.

ADUI UJINGA ANAZIDI KULITAFUNA TAIFA.
 
Sioni namna Simba itakavyokubali tena kuendelea kunyanyaswa ili yanga wapate ubingwa.
Yanga hawawezi kucheza mpira kihalali ni lazima watumie mbinu nyingi za hovyo kwa msaada wa vyombo vyote vikiwemo vya serikali.
Simba wamekataa kuwa wanyonge maana wanataka mpira uchezwe sio figisu nje ya uwanja na kupitia waamuzi.
Kutokana na msimamo wa Simba kugomea mechi,yanga nao hawakubali tena kupangiwa siku nyingine kwa vile watalazimika kuwekeza tena nje ya uwanja kabla ya mechi nyingine.
Kutokana na mvutano huu,na aina ya viongozi waliopo yanga na Simba ni kama wote hawana akili ya kufikiria vizuri matokeo ya maamuzi yao.
Hivyo,ninaona ni wazi hizi timu kuna uwezekano wa kususa kucheza ligi ama kuendeleza mapambano dhidi ya mamlaka za soka.
Ninachokiona mbele,umefika mwisho wa ubora wa ligi,na sijui kama utakuja kurudi tena kwenye ubora wake hivi karibuni.

GSM amefanikiwa sana kwa msaada wa mabilioni yanayochepushwa kutoka serikalini,kutengeneza ufalme wa yanga nje ya uwanja,na kuua soka la ushindani ndani ya uwanja,na kuufanya mchezo wa soka kama maigizo ambayo tunajua mwisho wa picha utakuwaje.

Sisi wengine tungependa mamlaka wawe wakali hasa kwenye kanuni,bila kujali nani amekosea.Kosa la kuizua timu kufanya mazoezi kabla ya mechi liwe na adhabu kali sio faini milioni moja.
Makosa yanayoashiria ushirikina kama kupita geti lisiloruhusiwa yawe na adhabu kali sio faini ya milioni moja iwe hata milioni 300.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Haiwezekani hilo kutokea kwani mashabiki wa hizo timu wote hawajitambui na hili litapita tu kama hayo mengine!!timu zina kuwa juu ya TFF na hana nguvu ya kuwafanya kitu,kisa siass
 
Usirias katika NBCPL utakuwepo ikiwa siku moja Simba au Yanga mmojawapo akapewa adhabu ya kushushwa daraja kama ilivyowahi kutokwa Italy Juventus ilivyoshushwa daraja. Bila ya hivyo, watakuwa wanaendeleza siasa na ubabaishaji kwa kila timu kutegemea utetezi kutoka serikalini huku wakiathiri soka la bongo ambalo limekuwa likipendwa.
Bodi ya ligi inaundwa na nani? Hivi hamuoni hata shida inakoanzia?
 
Simba mna matatizo sana.

Nilishalisema hili tatizo la mpira bongo linasababiswa na Simba.

Simba anashindana na Yanga huku akiwa na imani kwamba Yanga ni timu ya kawida na haishindi kihalali.

Simba hawataki na wamegoma kabisa kuiheshimu Yanga na kukubali kwamba Yanga kwa sasa ni bora zaidi yao.

Simba wakilikubali hili na wakajipanga kama ambavyo Yanga ilijipanga kwa kufanya usajili mzuri kipindi Simba hiko vizuri kuliko Yanga ligi yetu itachezeshwa kwa amani sana.

Hivi mtu na akili zako timamu utasemaje Yanga hawachezi mpira kihalali!

Timu iliyotoka kucheza fainali ya shirikisho.

Timu iliyomvimbia mamelodi na kutolewa kwa figisu za kukataliwa goli la wazi kabisa kuna mtu anasema haishindi kihalali kama sio uwendawazimu ni nini?

Simba acheni mambo ya hivyo imarisheni kikosi chenu hili muweze kushindana na Yanga.

Kutaka kushinda kivyovyote hata kwa kuonga marefa ni kuharibu ligi yetu.
Rubish propaganda from Utopoloni
 
Yanga hawawezi kucheza mpira kihalali ni lazima watumie mbinu nyingi za hovyo kwa msaada wa vyombo vyote vikiwemo vya serikali. Simba wamekataa kuwa wanyonge maana wanataka mpira uchezwe sio figisu nje ya uwanja na kupitia waamuzi.
Bodi inasema mmepeleka timu kufanya mazoezi usiku bila kutoa taarifa kwa uongozi wa kiwanja sasa hapo Yanga anaingiaje? Makolo tumieni akili yenu hiyo kidogo mliyobaki nayo!
 
Back
Top Bottom