S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 12,699 Reaction score 22,598 May 19, 2020 Thread starter #81 mwaimu Jt said: kwa kenya tatizo sio corona ni muendeezo wa chuki na hujuma zao kwetu kumbuka kauli za yule mwanamuziki jaguar Click to expand... Na Rwanda, na Zambia? Nilishasema, ukiona unagombana na kila jirani yako, mwenye tatizo sio jirani, ni wewe.
mwaimu Jt said: kwa kenya tatizo sio corona ni muendeezo wa chuki na hujuma zao kwetu kumbuka kauli za yule mwanamuziki jaguar Click to expand... Na Rwanda, na Zambia? Nilishasema, ukiona unagombana na kila jirani yako, mwenye tatizo sio jirani, ni wewe.
abnormal JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 541 Reaction score 1,319 May 20, 2020 #82 Synthesizer said: Na Rwanda, na Zambia? Nilishasema, ukiona unagombana na kila jirani yako, mwenye tatizo sio jirani, ni wewe. Click to expand... @Synthesizer fatilia kwa undani uone tatizo ni nini. Your browser is not able to display this video.
Synthesizer said: Na Rwanda, na Zambia? Nilishasema, ukiona unagombana na kila jirani yako, mwenye tatizo sio jirani, ni wewe. Click to expand... @Synthesizer fatilia kwa undani uone tatizo ni nini. Your browser is not able to display this video.
abnormal JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 541 Reaction score 1,319 May 20, 2020 #83 Hii ni Lubumbashi Your browser is not able to display this video.
N NewOrder JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,120 Reaction score 2,833 May 20, 2020 #84 troiker said: Endelea kujiuliza zaidi,ni hivi, watanzania hawana shida na kupimwa.,ispokuwa wakenya wanatumia mwanya huo kutuhujumu kiuchumi ,sasa acha mbwai na iwe.mbwai,hongera zake RC Shigela Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu, ulilosema ni swala lingine na linaweza kujadiliwa. Jibu swali, mnataka madereva waingie Kenya bila kupimwa au hata wakipimwa na kuwa positive waingie tu?? Fahamu pia waliosemwa negative wanaruhusiwa kuingia.
troiker said: Endelea kujiuliza zaidi,ni hivi, watanzania hawana shida na kupimwa.,ispokuwa wakenya wanatumia mwanya huo kutuhujumu kiuchumi ,sasa acha mbwai na iwe.mbwai,hongera zake RC Shigela Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu, ulilosema ni swala lingine na linaweza kujadiliwa. Jibu swali, mnataka madereva waingie Kenya bila kupimwa au hata wakipimwa na kuwa positive waingie tu?? Fahamu pia waliosemwa negative wanaruhusiwa kuingia.