Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #81
Na Rwanda, na Zambia? Nilishasema, ukiona unagombana na kila jirani yako, mwenye tatizo sio jirani, ni wewe.kwa kenya tatizo sio corona ni muendeezo wa chuki na hujuma zao kwetu kumbuka kauli za yule mwanamuziki jaguar