Ninadhani Lissu ni salama zaidi huko mahabusu kuliko huku uraiani

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Kwa yaliyotokea kwa Heche, Polepole, ukimya wa Gwajima, naona kabisa bora Lisu aendelee kukaa hukohuko mahabusu kuliko uraiani.

Nchi inatisha kwa sasa, na Lisu ndiye mtu pekee anayetazamiwa na wengi kuwavusha kwenye nchi ya ahadi.

Sasa tuangalie upande wa pili kama Lisu akarudi uraiani na hatimaye kutekwa, bila shaka nchi itarudi nyuma mno kwenye harakati za ukombozi maana hakutakuwa na wakuwasemea.

Wengi watazidi kujaa uoga na hatimaye wataunga juhudi tu za chama tawala hivyo vyama pinzani vitakufa rasmi na si rahisi kusimama tena labda ipite miaka si chini ya kumi.

Kama NCCR Mageuzi ilikufa, Cuf ambayo ndio ilikuwa mpinzani mkuu wa CCM leo hii kimekuwa chama dhaifu mno.

Ukiyafikiria ya Lisu utaishia kumuonea huruma tu maana uraiani na mahabusu kote si salama kwake labda aende kuishi mbali na TZ na kuacha kujihusisha kabisa na siasa.
 
Lissu hawezi kutekwa na Mafwele tena
Lissu ni international figure
Wamguse, wamteke waone
Kumweka kizuiZini chupi zao zimejaa mharishi
Hawajui wanamchomoa vipi
Shinikizo ni kubwa mno
Lissu hapa Tanganyika Yuko salama zaidi
 
Hawashindwi hawa...

Wanajiamini mno, maana wanajua hakuna wa kuwafanya chochote...

Kumbuka Polepole alikua balozi wa Tanzania nchini Cuba...
 
Polepole hawezi fika hata robo ya Lisu
 
Kwa yaliyotokea kwa Heche, Polepole, ukimya wa Gwajima, naona kabisa bora Lisu aendelee kukaa hukohuko mahabusu kuliko uraiani.

Nchi inatisha kwa sasa, na Lisu ndiye mtu pekee anayetazamiwa na wengi kuwavusha kwenye nchi ya ahadi.

Sasa tuangalie upande wa pili kama Lisu akarudi uraiani na hatimaye kutekwa, bila shaka nchi itarudi nyuma mno kwenye harakati za ukombozi maana hakutakuwa na wakuwasemea.

Wengi watazidi kujaa uoga na hatimaye wataunga juhudi tu za chama tawala hivyo vyama pinzani vitakufa rasmi na si rahisi kusimama tena labda ipite miaka si chini ya kumi.

Kama NCCR Mageuzi ilikufa, Cuf ambayo ndio ilikuwa mpinzani mkuu wa CCM leo hii kimekuwa chama dhaifu mno.

Ukiyafikiria ya Lisu utaishia kumuonea huruma tu maana uraiani na mahabusu kote si salama kwake labda aende kuishi mbali na TZ na kuacha kujihusisha kabisa na siasa.

Kwa usalama zaidi unapendekeza kila mwenye shaka akatafute usalama magerezani au rumande kama yule mwamba wa Arusha?
 
Kule UDASA hakuna wa kuchukua nafasi ya ujasiri wa Lissu kuwapa wananchi matumaini ya mabadiliko?
 
Lissu hawezi kutekwa na Mafwele tena
Lissu ni international figure
Wamguse, wamteke waone
Kumweka kizuiZini chupi zao zimejaa mharishi
Hawajui wanamchomoa vipi
Shinikizo ni kubwa mno
Lissu hapa Tanganyika Yuko salama zaidi
Polepole ambaye alikuwa ni balozi katekwa hatimaye kauliwa sembuse Lisu.
 
Lissu hawezi kutekwa na Mafwele tena
Lissu ni international figure
Wamguse, wamteke waone
Kumweka kizuiZini chupi zao zimejaa mharishi
Hawajui wanamchomoa vipi
Shinikizo ni kubwa mno
Lissu hapa Tanganyika Yuko salama zaidi
kwa hiyo kanyaboya, makapuku ndio watakaotekwa?
 
Back
Top Bottom