Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Hawashindwi hawa...Lissu hawezi kutekwa na Mafwele tena
Lissu ni international figure
Wamguse, wamteke waone
Kumweka kizuiZini chupi zao zimejaa mharishi
Hawajui wanamchomoa vipi
Shinikizo ni kubwa mno
Lissu hapa Tanganyika Yuko salama zaidi
Polepole hawezi fika hata robo ya LisuHawashindwi hawa...
Wanajiamini mno, maana wanajua hakuna wa kuwafanya chochote...
Kumbuka Polepole alikua balozi wa Tanzania nchini Cuba...
Kwa yaliyotokea kwa Heche, Polepole, ukimya wa Gwajima, naona kabisa bora Lisu aendelee kukaa hukohuko mahabusu kuliko uraiani.
Nchi inatisha kwa sasa, na Lisu ndiye mtu pekee anayetazamiwa na wengi kuwavusha kwenye nchi ya ahadi.
Sasa tuangalie upande wa pili kama Lisu akarudi uraiani na hatimaye kutekwa, bila shaka nchi itarudi nyuma mno kwenye harakati za ukombozi maana hakutakuwa na wakuwasemea.
Wengi watazidi kujaa uoga na hatimaye wataunga juhudi tu za chama tawala hivyo vyama pinzani vitakufa rasmi na si rahisi kusimama tena labda ipite miaka si chini ya kumi.
Kama NCCR Mageuzi ilikufa, Cuf ambayo ndio ilikuwa mpinzani mkuu wa CCM leo hii kimekuwa chama dhaifu mno.
Ukiyafikiria ya Lisu utaishia kumuonea huruma tu maana uraiani na mahabusu kote si salama kwake labda aende kuishi mbali na TZ na kuacha kujihusisha kabisa na siasa.
Wangekuwa wanaelewa publicity ya Lissu hata hiyo kesi asingepewa...Polepole hawezi fika hata robo ya Lisu
Nimekuelewa sana mkuuWangekuwa wanaelewa publicity ya Lissu hata hiyo kesi asingepewa...
Wewe unaamini Lissu ni mhaini?
Lissu amepewa kesi ya uongo kwasababu hawajali madhara ya kumpa kesi hiyo...
Ni wanyama mnoNi Mungu tu mkuu hawa watu wamejidhihirisha hawana jema lolote hasa ukiwa mpinzani.
Yaani hata oksijeni tunayovuta wanaitamani vibaya mno
Polepole ambaye alikuwa ni balozi katekwa hatimaye kauliwa sembuse Lisu.Lissu hawezi kutekwa na Mafwele tena
Lissu ni international figure
Wamguse, wamteke waone
Kumweka kizuiZini chupi zao zimejaa mharishi
Hawajui wanamchomoa vipi
Shinikizo ni kubwa mno
Lissu hapa Tanganyika Yuko salama zaidi
Na nchi tusingekuwa na cha kufanyaHakika, walijua wana mkomoa kumbe ndio walikuwa wanamuweka mahala salama. Maana bila hivyo wangekuwa wamemchukua kama Pole Pole kitambo sanaa
Kumbuka Lisu alishapigwa mpaka risasi.Polepole hawezi fika hata robo ya Lisu
Ni Lisu pekee.Kule UDASA hakuna wa kuchukua nafasi ya ujasiri wa Lissu kuwapa wananchi matumaini ya mabadiliko?
Unajua vitu vingi una akili Lissu hata kumshikilia walifanya kosa kubwa mnoPolepole hawezi fika hata robo ya Lisu
kwa hiyo kanyaboya, makapuku ndio watakaotekwa?Lissu hawezi kutekwa na Mafwele tena
Lissu ni international figure
Wamguse, wamteke waone
Kumweka kizuiZini chupi zao zimejaa mharishi
Hawajui wanamchomoa vipi
Shinikizo ni kubwa mno
Lissu hapa Tanganyika Yuko salama zaidi
Wachumia tumboHivi kwa yanayoendelea, unaweza kusema tuna vyombo vya ulinzi nchi hii?