ndo hata mimi najiuliza na mtu utajitambuaje kuwa wewe ni handsome?
mimi nitakusaidia jambo moja
wewe hujui kutongoza
na hujawaelewa wanawake
mfano umesema leo umepigwa kibuti
hapo inaonesha ulivyo hujui kutongoza
wanawake hawatongozwi siku moja
na wala hawafuatwi waziwazi hadi unawapa nafasi ya kukupiga kibuti
so jifunze kwanza namna ya kutongoza
Lakin hivyo vitu nilisha vi vunja spiritually, nilikua nakataa spirit chafu zote since when I was in o lev.
Hapo hapo ndo nahisi ungeanza kunielimisha, labda hilo ndo tatizo..
Every church sesion, iwe ni jumapili au katikati ya wiki, au sadaka ipi unayozungumzia..
Kwanza kabisa najaribu kumzoea kwa siku kadhaa kama wiki mbili mpaka mwezi, then natafuta mahali namtoa out then namwambia,
Kanisani? Au nje ya kanisa??
Ofcourse kwa kanisani huwa wakitangaza huwa siachi kutoa
Ehe nifanyeje mkuu..
Sijui niseme ni nyota, au sijui ni nini.
Mim ni kijana niliyebarikiwa yafuatayo,
1.Handsome na mtanashati
2.Mpendwa
3.Talented in music instruments (giter na kinanda)
4.Talented in books (nimesoma special school olev na advance na kumalizia udsm engineering)
5. Nimebahatika kazi nzuri (yenye kipato kizuri na usafiri)
Chakushangaza kila mtu ninayemtokea ananitolea nje tangu nipo sekondary, chuo mpaka hivi sasa nimemaliza, nimekua nikiishi na maumivu kwasababu ya kutoswa na wadada miaka yote,
Ninavyoandika ujumbe huu, leo mchana nimetoswa na dada mmoja niliyemtokea leo.
Hebu nisaidieni wadau, nini nakosea, na mim nina moyo pia jamani.
punguza kuwa 'mannual' sana, kuwa soft kidogo.
Afu hizo 'akili' zako zinaweza kufanya uwe 'big headed' kumbuka wanawake hawataki mvumbuzi, wanataka mtu atakayewafanya wafurahi
kingine, yaani mtu kumzoea wiki 2 tu unamtongoza? Lazima akurushe kama nyanya mbichi.
Wanamme wenye mizaha ya maneno by 'choice' ndo hula vinono kama hujui
Inahitaji umzoee kwa wiki ngapi?