Ninadhurumika nafsi, nami nina moyo jamani.

Ninadhurumika nafsi, nami nina moyo jamani.

ndo hata mimi najiuliza na mtu utajitambuaje kuwa wewe ni handsome?

Simple to recognize, sometimes unapata comments kutoka kwa friends wako,naamini hata wewe unajijua, labda hapo kwenye utanashati, cozi sisi wakaka huwa tunaambia ni blind kwenye vitu kama hivyo...
 
Kuna mtu anaomba wanawake wamchukie....... wanamganda hata hajui afanyeje......Akijifanya kauzu ndiyo wanamfuata kama mvua. Ningetamani mbadilishane nuksi.

Tulia kadri unavyo-panic ndivyo unavyopoteza confidence na hofu kibao!
 
mimi nitakusaidia jambo moja
wewe hujui kutongoza
na hujawaelewa wanawake
mfano umesema leo umepigwa kibuti
hapo inaonesha ulivyo hujui kutongoza

wanawake hawatongozwi siku moja
na wala hawafuatwi waziwazi hadi unawapa nafasi ya kukupiga kibuti

so jifunze kwanza namna ya kutongoza

Hapo hapo ndo nahisi ungeanza kunielimisha, labda hilo ndo tatizo..
 
anza nieleza ukimtongoza mwanamke unaanzaje?

Kwanza kabisa najaribu kumzoea kwa siku kadhaa kama wiki mbili mpaka mwezi, then natafuta mahali namtoa out then namwambia,
 
Ehe nifanyeje mkuu..


mbona simple hii

kwanza achana na kumtoa mtu out kama sio wako tayari
pili ongea mapema nia yako bila kujiandaa wala usiwe serious saana
tatu chukulia kila kitu kama utani
hata akisema hataki chukulia anataka lakini anakutania hataki
ukishamwambia siku ya kwanza usirudie rudie
jifanye kashakubali ....siku inayofuata unaanza hatua ya pili as if alishasema yes
ukimtoa out unamtoa as ni wako na story ni zingine kabisa
ila viyendo ndo vinaongea
 
punguza kuwa 'mannual' sana, kuwa soft kidogo.

Afu hizo 'akili' zako zinaweza kufanya uwe 'big headed' kumbuka wanawake hawataki mvumbuzi, wanataka mtu atakayewafanya wafurahi

kingine, yaani mtu kumzoea wiki 2 tu unamtongoza? Lazima akurushe kama nyanya mbichi.

Wanamme wenye mizaha ya maneno by 'choice' ndo hula vinono kama hujui
 
Sijui niseme ni nyota, au sijui ni nini.
Mim ni kijana niliyebarikiwa yafuatayo,
1.Handsome na mtanashati
2.Mpendwa
3.Talented in music instruments (giter na kinanda)
4.Talented in books (nimesoma special school olev na advance na kumalizia udsm engineering)
5. Nimebahatika kazi nzuri (yenye kipato kizuri na usafiri)

Chakushangaza kila mtu ninayemtokea ananitolea nje tangu nipo sekondary, chuo mpaka hivi sasa nimemaliza, nimekua nikiishi na maumivu kwasababu ya kutoswa na wadada miaka yote,

Ninavyoandika ujumbe huu, leo mchana nimetoswa na dada mmoja niliyemtokea leo.

Hebu nisaidieni wadau, nini nakosea, na mim nina moyo pia jamani.

Aha vyote ulivyoandika navitaka vp una salio kiasi gani? nivute kwakooo niwe wako milele
 
punguza kuwa 'mannual' sana, kuwa soft kidogo.

Afu hizo 'akili' zako zinaweza kufanya uwe 'big headed' kumbuka wanawake hawataki mvumbuzi, wanataka mtu atakayewafanya wafurahi

kingine, yaani mtu kumzoea wiki 2 tu unamtongoza? Lazima akurushe kama nyanya mbichi.

Wanamme wenye mizaha ya maneno by 'choice' ndo hula vinono kama hujui

Inahitaji umzoee kwa wiki ngapi?
 
Back
Top Bottom