Ninaekereka au Kuchoshwa na hili linaloendelea sasa katika Redio nyingi za Tanzania nipo peke yangu au?

Ninaekereka au Kuchoshwa na hili linaloendelea sasa katika Redio nyingi za Tanzania nipo peke yangu au?

Masoud Masoud redio gani mkuu?
Kwa sasa anahudumu pale TBC Taifa. Kote alipopitia kwa maana ya Radio One na Radio Uhuru alifanikiwa kujenga jina lake kama mtangazaji anaye ujua muziki kama taaluma na kutayarisha vipindi katika viwango vya juu sana kimaudhui

Kwa sasa TBC Taifa anaendesha kipindi cha zilipendwa kinachorushwa hewani kila Jumapili kuanzia saa tano kamili asubuhi. Pia ana segment ya kuzungumzia muziki na wanamuziki katika kipindi cha jioni njema ambacho nadhani kinaanza saa kumi na moja jioni
 
Nimeshtushwa na Taarifa hii ya Mbwiga Mbwiguke kwani hakuna Mtu ambaye kila tukikutana nae Vijiweni Kwetu alikuwa akisema kuwa kwa Utu wa Shaffih Dauda aliyemuibua akiokota Chupa za Maji Chamazi na Wema wa Marehemu Ruge Mutahaba na Urafiki wake na MD Joseph Kusaga tokea wakisoma wote Shule ya Msingi Forodhani kamwe asingeweza kuhama CMG.

Kweli nimeamini 'Fedha' humbadili Mtu.
Amerusha na dongo pia" sifanyi kazi usiku kama najenga daraja"
 
Kuna jamaa likiisha tangazo la Vivo wanaanza kulichambua weeeeeeeeeee baada ya hapo utasikia haya twende kwenye magazeti....

Na. Kuna kipindi cha jioni bana asee Bia inaitwa Guinness smooth ayayayaaya kuna msemo unaitwa bucket.. Nadhani huwa anataji sio chini ya x100 huwa naamisha station asee

Content kisoda
 
Tatizo kubwa la watangazaji wa sasa hatwajiandai wala kufanyia tafiti wanachokirusha hewani tofauti na watayarishaji vipindi na watangazaji wakongwe

Sikiliza kwa mfano vipindi vinavyotayarishwa na Masoud Masoud utaona jinsi anavyoiheshimu kazi yake na kuwaheshimu wasikilizaja wake. Masoud anatafiti content zake na kuziweka katika mpangilio wa kuelimisha na pia kuvutia

Watangazaji wa sasa anaweza akaongea hewani kitu asichokijua au hana uhakika nacho au ni cha uongo na akataka wote muamini anavyojua yeye!

Ni vyema kila Radio ikawa na timu ya wadhibiti ubora kuanzi kwenye lugha, uwasilishaji wa content mpaka nidhamu za presentation ili vipindi viwe both entertaing and educating
Asee Masoud masoud ni moto mwengine kabisa
Bila kumsahau Charles hillary
 
Amerusha na dongo pia" sifanyi kazi usiku kama najenga daraja"
Mzaramo ni Mzaramo tu. Leo hii Mbwiga Mbwiguke anawananga CMG wakati kwa 99% ndiyo waliyobadilisha Maisha yake Kiuchumi hadi Kimaendeleo.

Jamaa kajiunga CMG akiwa choka mbaya sana, kaanza kupewa Majukumu, kushikishwa Pesa ambazo hata hakuwa Kuota kuzishika, Kusafiri ndani na nje ya nchi ( hadi Ulaya na Falme za Kiarabu ) kwa Ndege na mengineyo mengi tu.

Kama kuna Mtu ambaye alipaswa Kuwaheshimu na Kutowadharau hao CMG ni Mbwiga Mbwiguke kwani wamemtoa mbali na huenda hizi Kauli zake za Kejeli zikageuka kuwa Laana Kwake. Nimesikitika sana kwa haya anayoyasema.

Hivi hao Times FM isingekuwa CMG kumtengeneza hivyo Mbwiga Mbwiguke mpaka Kujulikana na Kupendwa na Wasikilizaji na kuwa Kivutio Kikuu katika Vipindi vya Michezo na hata vinginevyo wao wangemuona?

Sasa nimeyaamini maneno ya Ibrahim Masoud ' Maestro ' alipokuwa bado CMG ( kabla ya kuhamia EFM ) kuwa Mbwiga Mbwiguke ni Mswahili, Mkorofi, Mnafiki na ni Mtu Mgomvi Mgomvi na mpenda Majungu na Fitina Ofisini.

Hata hao Times FM wawe nae makini tena mno tu kwani nao atawakimbia hivyo hivyo na akihama ' atawananga ' vile vile. Aligombana na Ibrahim Masoud aliyekuwa Boss wake na naamini hata hii Kuondoka Kwake CMG atakuwa amegombana na Bosi zake Alex Luambano, Shaffih Dauda na Dada Joyce Shebe au hata Sebastian Maganga.

Najua kuwa huenda hata Wao CMG labda kuna walichomkosea ( mmkwaza ) au kutokubaliana na Mbwiga Mbwiguke ( ambaye huwa anapenda sana Kulazimisha Mambo na kutozingatia Uweledi na Utaratibu katika Utendaji ) ila kwa Watu ambao walimtoa mbali Kimaisha ( hata Yeye Mwenyewe amelikiri sana hili Hewani hapo Clouds FM ) hakutakiwa kuanza kuwapiga ' Vijembe ' vyake vya tabia yake ya Kizaramo Kabila lenye ' Uswahili Uswahili ' mwingi.
 
Yaan unakuta kipindi kina watangazaji zaid ya watatu halafu kila mtu ana tangazo lake, kiukweli kipind Kizma kinakuwa cha matangazo tu hadi inaboa
 
Katika watangazaji naona afadhali babbie kabae ana upeo mkubwa wa kuelezea jambo
Yuko very professional kwakweli ila hao wengine ni bora liende tu
Bora nibakie jf😁
 
Katika watangazaji naona afadhali babbie kabae ana upeo mkubwa wa kuelezea jambo
Yuko very professional kwakweli ila hao wengine ni bora liende tu
Bora nibakie jf😁
Angekuwa Bora angekaa na hao Fools?
 
Brainiac hukubali Kukaa na Nuts Mkuu?
For money reasons yes,hata mimi ntakubali na hii ni proof kwamba you are fine upstairs
Asa wewe ukatae usubiri wenye akili wenzako adi lini?mwisho hao fools ndo watakukopesha ela za kula,kwa hapo who will be brainless?you or them?
 
For money reasons yes,hata mimi ntakubali na hii ni proof kwamba you are fine upstairs
Asa wewe ukatae usubiri wenye akili wenzako adi lini?mwisho hao fools ndo watakukopesha ela za kula,kwa hapo who will be brainless?you or them?
Kukopeshwa Hela au Kupewa Pesa na Fools haiondoi kuwa bado wataendelea tu kuwa Morons na Wewe Brainy hata kama utachelewa kutoka Kimaisha ila Mikakati yako ' ikitiki ' Pesa zitakuja na hata Kusahau Shida zote ulizopitia pamoja na Majaribu ya Maishani.
 
Kuna kile kijamaa kinaitwa haris kapiga wa cloud sura yake kama kalungu yeye

Anasoma habar then anaanza kumshauri marehemu ambaye ameuwawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]........we jamaa mjinga sana aisee, yani umenichekesha kifala sana "eti sura kama kalunguyeye"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusikiliza radio (karibia zote) hakuna tofauti na kuwasikiliza walevi.
Wakurugenzi akili ndogo, H. R akili ndogo zaidi, mkurugenzi wa vipindi akili ndogo sana na watangazaji hakuna akili. (Akili = general + specific content).
 
Mi nilikuwa msikilizaji mzuri wa Wasafi redio, haswa vipindi vya michezo ( sports Cort na Sports Arena) Ila siku hizi staki hata kuvisikia maana vimegeuka vipindi vya matangazo...Yaan kipindi cha lisaa limoja matangazo yanakula dk 45 ndo Nini Sasa.

Siku hizi nasikiliza redio one na RFA na U fm angalau kuna afadhali.
 
Kukopeshwa Hela au Kupewa Pesa na Fools haiondoi kuwa bado wataendelea tu kuwa Morons na Wewe Brainy hata kama utachelewa kutoka Kimaisha ila Mikakati yako ' ikitiki ' Pesa zitakuja na hata Kusahau Shida zote ulizopitia pamoja na Majaribu ya Maishani.
Mh,ukiwa huna ela unaonekana tu huna thamani yan uprofesa wako tupa kule ndo mana utakuta frd vunjabei sa hizi anaitwa mzee wakati ni kijana mbichi
 
SABABU KUBWA WANASEMA OOH MATANGAZO NDIO YANATULIPA, HATUKATAI ILA WAWEKE UTARATIBU MZURI, TANGAZO LINA DAKIKA 1 ILA MTANGAZAJI ATALISIFIA DAKIKA 5
 
Back
Top Bottom