Ninafurahishwa sana na vita ya wenyewe kwa wenyewe mtandaoni baina ya makada wa CHADEMA. CCM itatawala kwa miaka mingi sana

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali sana. Ntobi na MMM wanaporomosha matusi mazito kwa kada mwenzao Fred ambapo Fred nae hajakaa kinyonge anawalipua maovu yao ya nyuma ya pazia ikiwemo kuhongwa magari.

Chanzo cha yote ni Ntobi na MMM kupinga shetani Mange kuanza kumshambulia Rais Dr Samia Suluhu. Wenyewe wanadai Mange ni kigeugeu apuuzwe. Fred kawapinga wenzake kwa kudai shetani Mange aachwe ili wapate sapoti yake kwenye kumpinga Rais kipenzi cha watanzania. Wakati hayo yanatokea ghafla akajitokeza Nabii feki Lema aliye uhamishoni Canada kukwepa madeni ya benki na kumtaka Fred afute post yake. Fred kamjibu kijasiri kuwa HAFUTI.

Mimi kama mwanaCCM ninafurahishwa sana kwa hawa wafuasi wa Mbowe kutoelewana. Hao wote pamoja na Mange ni watu wapuuzi wasiopaswa kupata sapoti ya mtanzania yeyote. Ugomvi wao unaiweka CHADEMA uchi na kuthibitisha kuwa bado hakijawa tayari kuongoza nchi. Kama wao wenyewe hawaelewani hawataweza kuwaongoza watanzania 65m. Hata kama kuna ugomvi walipaswa kumalizana ndani kwa ndani kupitia vikao rasmi vya chama badala ya kutoka nje na kugombana.

View: https://twitter.com/frediejustine/status/1777724830889971765?t=5EAd9uE0E_jcu7jyWZDVDw&s=19
 
Ccm na chadema ni chama kimoja

Simba na yanga ni timu moja

Ukiwa hauelewi ebu watazame wafuasi wa simba na yanga utaona jinsi walivyo na tazama maboss wa hizo timu

Then Ccm na chadema tazama kuanzia wafuasi wake na tazama viongozi wake .

MTU mjinga ndo anaweza kuwa haelewi
 
Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali sana. Ntobi na MMM wanaporomosha matusi mazito kwa kada mwenzao Fred ambapo Fred nae hajakaa kinyonge anawalipua maovu yao ya nyuma ya pazia ikiwemo kuhongwa magari.

Chanzo cha yote ni Ntobi na MMM kupinga shetani Mange kuanza kumshambulia Rais Dr Samia Suluhu. Wenyewe wanadai Mange ni kigeugeu apuuzwe. Fred kawapinga wenzake kwa kudai shetani Mange aachwe ili wapate sapoti yake kwenye kumpinga Rais kipenzi cha watanzania. Wakati hayo yanatokea ghafla akajitokeza Nabii feki Lema aliye uhamishoni Canada kukwepa madeni ya benki na kumtaka Fred afute post yake. Fred kamjibu kijasiri kuwa HAFUTI.

Mimi kama mwanaCCM ninafurahishwa sana kwa hawa wafuasi wa Mbowe kutoelewana. Hao wote pamoja na Mange ni watu wapuuzi wasiopaswa kupata sapoti ya mtanzania yeyote. Ugomvi wao unaiweka CHADEMA uchi na kuthibitisha kuwa bado hakijawa tayari kuongoza nchi. Kama wao wenyewe hawaelewani hawataweza kuwaongoza watanzania 65m. Hata kama kuna ugomvi walipaswa kumalizana ndani kwa ndani kupitia vikao rasmi vya chama badala ya kutoka nje na kugombana.

View: https://twitter.com/frediejustine/status/1777724830889971765?t=5EAd9uE0E_jcu7jyWZDVDw&s=19

Vita vya kweli unaacha kuviona unaona vita vya chawa wa ki siii hasaa🤣.Unaweza kuwa unaota ndoto tena,zaa asubuhi😆
 
Ukiona mahali Kuna chama watu wanakubaliana kwa Kila kitu na hawawezi kuambiana ukweli, ujue hicho chama mwenye akili ni mmoja tu.
 
Achana nao hao wahuni,yule Ntobi tangu aache kazi Nbc Songea amewehuka.
 
Ukiona mahali Kuna chama watu wanakubaliana kwa Kila kitu na hawawezi kuambiana ukweli, ujue hicho chama mwenye akili ni mmoja tu.
Kuna namna ya kumaliza mizozo na sio kutumia mtandao kukiweka chama uchi.
 
Hiyo kumaliza mizozo huko ndani ndio kumebaki vichaka vya kijengeana uoga. Nenda huko ccm ukaone migogoro inavyozimwa kwa vitisho, ingia vyama vya wafanyakazi, waalimu nk. Hakuna utatuzi wowote bali kutiana woga na kunyamazishana kibabe, ndio maana unakuta watu hawaridhishwi na hizo taasisi, bali wamekubali kuishi kwa woga na majonzi moyoni.
 
Chadema wakijitahidi kujitutumua mbele ya ccm
GJiRb2UXEAEdGiL.jpeg
 
Back
Top Bottom