Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

Hiyo inaitwa "ping pong"
Yaani ulimuambukiza mke wako halafu kila baada ya kujitibu unakwenda kuchukua kwa mkeo Tena, kibaya zaidi umekua sugu, hutibiki Tena na antibiotic za kawaida.
Katibiwe wewe na mkeo halafu mkae mwezi bila kukutana. Hakikisha mkeo naye hakutani na mchepuko wake baada ya tiba, vinginevyo mtibiwe wote watatu halafu no sex miezi miwili ili kujiridhisha.
 
Tumieni Cephalexin wote wawili....
Ikidunda kafanyeni blood culture wote wawili....hakika mtapona
 
Back
Top Bottom