Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio vzr mkuu,acha masiharaDalili ya Cancer inayotokana na zinaa. Umezidi kuwa mzinzi ndio maana umepata Kansa ya Kizazi.😀😃😄😁
UTI haiambukizi kwa sexmkeo anapaswa utumie naye dawa utiyai sugu hiyoo vip wife hawashwi ukeni
Usikubali kupokea Kila kinachosemwa!Mbona unanitisha mzee
Umesima Uzi mkuu?Polee sana nenda kituo cha afya kwa msaada zaidii
Nikikutana nae tatizo linatokea tena baada ya siku Kama tatu na sina historia ya kuchepuka.Pole. Umetumia dawa nyingi sana tayari, na hizo paracetamol huwa unakuwa na homa pia?. Seriously huhitaji kutumia tena dawa zaidi ya kuonana na mtaalam specialist akusaidie vipimo zaidi. Inaweza kuwa ni underlying condtion ya tatizo kubwa, au infection inayojirudia, au chronic infection ambayo haijapona.
Historia inayokosekana hapa ni inachukua muda gani tangu ukutane na wife tatizo lijitokeze, kama ni immediately basi tatizo liko kwako, kama huchukua siku kadhaa badi tatizo liko kwa wife. Pia hujaelezea tatizo lilianzaje na kama wewe au mkeo mna matukio ya kuchepuka.
Inaweza kuwa ugonjwa wa zinaa au tatizo jingine kabisa.
Basi huenda yeye ndo anahitaji vipimo (likely). Ongeeni kama wana familia muyasuluhishe kistaarabu, yaani afike hospitali achekiwe.Nikikutana nae tatizo linatokea tena baada ya siku Kama tatu na sina historia ya kuchepuka.
Aende aghakhan ndo Kuna vipimo vizuri na indumandali akienda atatibiwa freshUmesima Uzi mkuu?
Aneenda hospital na vipimo vikubwa kafanya ,we unasema aende kituo Cha afya
Aende aghakhan ndo Kuna vipimo vizuri na indumandali akienda atatibiwa freshUmesima Uzi mkuu?
Aneenda hospital na vipimo vikubwa kafanya ,we unasema aende kituo Cha afya
Sawa sawa kak ndo nasubiri hyo keshokutwa nikutane na daktari bingwa. Nitaenda naye piaBasi huenda yeye ndo anahitaji vipimo (likely). Ongeeni kama wana familia muyasuluhishe kistaarabu, yaani afike hospitali achekiwe.
Ila pia awe muwazi yeye ana hali gani kiafya. Kwakuwa una discharge naye anaweza kuwa na dalili kama zako. Unaweza kuchunguza nguo anayoamka nayo asubuhi (chupi) fanya namna kuicheki kabla hajaifua, hizo ni namna za kuweza kujua naye ana hilo tatizo au la, ukiona anazo hizo dalili, anza pia kuchunguza kama hakuna njemba inaleta balaa nyumbani kwako.
Sitaki uchukue haya maelezo kama majibu kamili, ila moja kati ya haya yqnaweza kuwa sahihi, maambukizi yanajirudia(hapo mmoja wenu anamwambukiza mwingine repeatedly), maambukizi chronic (tatizo halijawahi kukuondoka mwilini) , tatizo kubwa la kiafya ambalo halijajulikana bado.
Hapo kwenye maambukizi yanayojirudia pia yanaweza kutokana na kuvaa nguo ambazo bado zina vimelea, mfano kwa fungus mtu anapotibiwa anashauriwa afue nguo zake zote za ndani, na azipige pasi yaani kila anapovaa hizo nguo azipige pasi kwanza mpaka atakapopona na hatakiwi kurudia kabla ya nguo hiyo kuifua. Ni mfano tu simaanishi una fungus.
Ila hiyo 3 days interval inanitia mashaka kwamba unakutana na maambukizi mapya baada ya tendo. Matibabu yako yazingatie sana hii theory mpaka utakapoprove otherwise!
Hahaha..Tafuta ile inaitwa cristapen ufunge biashara.
Hakikisha una nyama walau size ya ng'ombe wa kinyankole
So do I..Kuanzia leo naacha ngono zenbe!
Hata mimi naona tatizo lipo hapa. Hebu ajaribu kukaa hata mwezi mzima na baada ya hapo akutane tena na mkewe. Hapo anaweza kupata ukweli kuhusu hii kero.Anzia hapa....
""... nakaa Kama wiki hv Ila nikikutana na mwenzangu hali inarudi tena.... ""
#YNWA