kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
'Ninahisi' TZS ipo pegged kwenye USD bila sisi kujua.
Ninasema hivyo sababu toka TZS ipande thamani ghafla dhidi ya USD basi graph za currencies nyingi duniani zimeonesha TZS ikiongezeka thamani dhidi ya currencies hizo.
Labda nielezee 'pegging' ni nini kwenye currency. Pegging ni ile hali ambapo nchi inaamua kuhusisha moja kwa moja sarafu ya nchi yake na sarafu nyingine yenye nguvu kiuchumi (mfano USD).
Katika hali hio, sarafu husika ikipanda au kushuka thamani relative to the currency that it was pegged on basi graphs za currencies nyingine huakisi movements zile zile.
Itakua ngumu kushawishi umma kwamba kuna kitu kimefanyika hadi TZS kuongezeka thamani against more than 10 currencies at once, yaan inamaanisha tumetrigger kitu ambacho kiuchumi kimegusa mahusiano yetu kiuchumi na nchi zaidi ya 10 kwa wakati mmoja.
The only reasonable explanation ni kwamba TZS ipo 'virtually pegged on USD' na ndio maana ikatengeneza hio ripple effect hadi kwenye currencies zingine.
Hayo ni mawazo yangu, je nn mawazo yako?