Ninahisi TZS iko 'virtually pegged' kwenye USD

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
'Ninahisi' TZS ipo pegged kwenye USD bila sisi kujua.

Ninasema hivyo sababu toka TZS ipande thamani ghafla dhidi ya USD basi graph za currencies nyingi duniani zimeonesha TZS ikiongezeka thamani dhidi ya currencies hizo.

Labda nielezee 'pegging' ni nini kwenye currency. Pegging ni ile hali ambapo nchi inaamua kuhusisha moja kwa moja sarafu ya nchi yake na sarafu nyingine yenye nguvu kiuchumi (mfano USD).

Katika hali hio, sarafu husika ikipanda au kushuka thamani relative to the currency that it was pegged on basi graphs za currencies nyingine huakisi movements zile zile.

Itakua ngumu kushawishi umma kwamba kuna kitu kimefanyika hadi TZS kuongezeka thamani against more than 10 currencies at once, yaan inamaanisha tumetrigger kitu ambacho kiuchumi kimegusa mahusiano yetu kiuchumi na nchi zaidi ya 10 kwa wakati mmoja.

The only reasonable explanation ni kwamba TZS ipo 'virtually pegged on USD' na ndio maana ikatengeneza hio ripple effect hadi kwenye currencies zingine.

Screenshot_20241213_115903_Chrome.jpg
Screenshot_20241213_115817_Chrome.jpg
Screenshot_20241213_115845_Chrome.jpg
Screenshot_20241213_115738_Chrome.jpg
Screenshot_20241213_115756_Chrome.jpg
Screenshot_20241213_115717_Chrome.jpg

Hayo ni mawazo yangu, je nn mawazo yako?
 
'Ninahisi' TZS ipo pegged kwenye USD bila sisi kujua.

Ninasema hivyo sababu toka TZS ipande thamani ghafla dhidi ya USD basi graph za currencies nyingi duniani zimeonesha TZS ikiongezeka thamani dhidi ya currencies hizo.

Labda nielezee 'pegging' ni nini kwenye currency. Pegging ni ile hali ambapo nchi inaamua kuhusisha moja kwa moja sarafu ya nchi yake na sarafu nyingine yenye nguvu kiuchumi (mfano USD).

Katika hali hio, sarafu husika ikipanda au kushuka thamani relative to the currency that it was pegged on basi graphs za currencies nyingine huakisi movements zile zile.

Itakua ngumu kushawishi umma kwamba kuna kitu kimefanyika hadi TZS kuongezeka thamani against more than 10 currencies at once, yaan inamaanisha tumetrigger kitu ambacho kiuchumi kimegusa mahusiano yetu kiuchumi na nchi zaidi ya 10 kwa wakati mmoja.

The only reasonable explanation ni kwamba TZS ipo 'virtually pegged on USD' na ndio maana ikatengeneza hio ripple effect hadi kwenye currencies zingine.

View attachment 3175853View attachment 3175854View attachment 3175855View attachment 3175856View attachment 3175857View attachment 3175858

Hayo ni mawazo yangu, je nn mawazo yako?
Mimi nakushangaa kuuliza jambo ambalo ni automatic kama kweli we ni mwana uchumi,.........tangu awamu ya mkapa ndo kafanya hiyo pegged currency ya Tanzania kwa dollar sisi hatuna currency independecy ya kupambana na US dollar ni Kenya na Uganda nda walio weza kufanya currency zao kua independent over the dollor.....
 
Anakwepa kumpa Mama samia sifa zake,
Mawazo yangu lakini

Yaani shilingi ikiimarika ni imekua pegged, lakini ikitetereka ni serikali haifai,(unpegged?)

Mimi nadhani kupeg currency ingekuwa bei imesimama hapo hapo ilipo lakini hii inabadilika badilika

Uchumi umeimarika ingekuwa sentensi sahihi
Shilingi haijaimarika popote. Kilichosababisha dollar kuonekana inashuka sio kwa sababu ya dollar yenyewe kushuka thamani bali ni kuongezeka kwa upatikanaji wa USD sokoni huku hakuna shilingi.

Mwezi October hadi November kila mwaka kuna mauzo ya korosho, haya huingiza kati ya 150m usd hadi 250m usd. At the same time GGM mwezi huu wa 11 hadi 12 ameingiza sokoni zaidi ya 120m usd anaziuza kwa soko la ndani ili kulipa kodi na magawio ya serikalini hivyo kuzidi kuongeza upatikanaji wa USD kwenye soko la ndani.

So hiyo inflow ya dollar inaenda kukata turudi kule kule tulipokua, hata ukimsikiliza gavana anasema januari ama februari dollar itaendelea kupanda, infact hua sio dollar inapanda thamani, bali hua ni upatikanaji wake kua hafifu nchini kutokana na kua na vyanzo vichache vya upatikanaji wa USD nchini.
 
No kwa mkapa hata ukiangalia data haijawahi kutokea correlation nloonyesha hapo juu, actually kutokana na data zilizopo hii scenario haijawahi kutokea
 
Anakwepa kumpa Mama samia sifa zake,
Mawazo yangu lakini

Yaani shilingi ikiimarika ni imekua pegged, lakini ikitetereka ni serikali haifai,(unpegged?)

Mimi nadhani kupeg currency ingekuwa bei imesimama hapo hapo ilipo lakini hii inabadilika badilika

Uchumi umeimarika ingekuwa sentensi sahihi
Asante kwa mawazo yako
 
Shilingi haijaimarika popote. Kilichosababisha dollar kuonekana inashuka sio kwa sababu ya dollar yenyewe kushuka thamani bali ni kuongezeka kwa upatikanaji wa USD sokoni huku hakuna shilingi.

Mwezi October hadi November kila mwaka kuna mauzo ya korosho, haya huingiza kati ya 150m usd hadi 250m usd. At the same time GGM mwezi huu wa 11 hadi 12 ameingiza sokoni zaidi ya 120m usd anaziuza kwa soko la ndani ili kulipa kodi na magawio ya serikalini hivyo kuzidi kuongeza upatikanaji wa USD kwenye soko la ndani.

So hiyo inflow ya dollar inaenda kukata turudi kule kule tulipokua, hata ukimsikiliza gavana anasema januari ama februari dollar itaendelea kupanda, infact hua sio dollar inapanda thamani, bali hua ni upatikanaji wake kua hafifu nchini kutokana na kua na vyanzo vichache vya upatikanaji wa USD nchini.
Makes sense, lkn Kwa nn ireflect na kwenye currencies zingine hvohvo?
 
Anakwepa kumpa Mama samia sifa zake,
Mawazo yangu lakini

Yaani shilingi ikiimarika ni imekua pegged, lakini ikitetereka ni serikali haifai,(unpegged?)

Mimi nadhani kupeg currency ingekuwa bei imesimama hapo hapo ilipo lakini hii inabadilika badilika

Uchumi umeimarika ingekuwa sentensi sahihi
Hujui maana ya pegged currency ndo maana unaeleza hivo, ukifanya pagged currency yako inakua determined na currency ulio pegged nao kwa kushuka na kupanda, kwa mfano sasa hivi US imeshusha interest rate kwake manaake dollor inashuka automatically nasie pagged currency pesa yetu inapanda kabisa against the dollar
 
Mazao ya kilimo yanaenda nje kama hayana akili nzuri, ni balaa. Makontena ya kunde,mbaazi, ufuta, korosho, maharage,choroko zinaenda india, malaysia,indonesia na China nenda mandela road ukaone. Madini, nyama na Samaki ukijumlisha na wawekzaji wengi wanaingia kutafuta fursa lazima shilingi ipande dhidi ya kila hela..Kilimo kinainyanyua shilingi uku Morogoro kila zao hela. Serikali ikaze hivyo hivyo kwenye kilimo.
 
Hujui maana ya pegged currency ndo maana unaeleza hivo, ukifanya pagged currency yako inakua determined na currency ulio pegged nao kwa kushuka na kupanda, kwa mfano sasa hivi US imeshusha interest rate kwake manaake dollor inashuka automatically nasie pagged currency pesa yetu inapanda kabisa against the dollar
Kuna ambacho mtu hajui zama hizi?
Mbona kama wewe ndio hujui
 
Shilingi haijaimarika popote. Kilichosababisha dollar kuonekana inashuka sio kwa sababu ya dollar yenyewe kushuka thamani bali ni kuongezeka kwa upatikanaji wa USD sokoni huku hakuna shilingi.
Demand na Supply ndo hushusha na kupandisha thamani ya fedha.
 
Makes sense, lkn Kwa nn ireflect na kwenye currencies zingine hvohvo?
Dollar ndio base currency, kama inashuka maana yake hata currency nyingine zitashuka. Huwezi kupata euros hadi uwe na dollar, huwezi kupata currency yoyote hadi uwe na Dollar, unless zile currency ambazo ni direct ila mara karibu zote dollar ndio hua base currency.

Kwa maana nyingine ni kwamba, banks ama fx dealers kama BDC ili wawe na currencies nyingine wanatakiwa kwanza kua na dollar, sasa kama, kama dollar against tzs inashuka, maana yake other currencies against tzs zitashuka pia.
 
Back
Top Bottom