Don Buyoya
Member
- Jun 13, 2024
- 78
- 261
Habarini wana jamvi,
Ninahitaji mark x au brevis kwa bajeti ya milion 7 hadi 10 kutokana na ubora na model itakayopatikana.
Tafadhali, mimi ni mzoefu wa magari hivyo ukija na deal ni bora uwe serious.
Ninauhitaji wa haraka kidogo kwa ajili ya matumizi binafsi.
PM ipo wazi au unaweza kunipa deal hapahapa.