Ninahitaji brevis au mark x ya haraka, bajeti yangu 7m hadi 10m kutokana na model na ubora wake.

Mil 10 unapata Brevis mbili.
Hahahaha 🀣 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwa brevis anapata kabisa kama yupo dar aende mitaa ya Lumumba pale na dereva wake wa pili waondoke na brevis zao
 
Hahahaha 🀣 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwa brevis anapata kabisa kama yupo dar aende mitaa ya Lumumba pale na dereva wake wa pili waondoke na brevis zao
Gari kali sana tatizo hatuna hela ya mafuta.
 
Ukiwa unaitaja Altezza ipe heshima yake, hiyo gari haijawah kutok ktk trend... pia inategemea unazungumzia Altezza ipi.

I gat Z Edition Rs200 MT 6 gears.. huwez fananisha na haya Ma Altezza mengine matakataka.
Picha yake tafadhari
 
Kununua gari kwa tz ni kubeti .ningekuwa Mimi ningetafuta gari japan inayofanana na hio hela Zipo nyingi tu .

Mfano hii hapa chini Mitsubishi Pajero mini
 

Attachments

  • FCE57F30-8EE7-428B-8FAA-9734F75645DC.png
    589.1 KB · Views: 5
  • AA6B1C9E-A3B6-4D4F-BEE4-118E9BE99BE2.png
    551.9 KB · Views: 7
  • 245E8D72-7527-4A0C-AB3F-58C7DF414DB9.png
    593 KB · Views: 5
  • 40F565AB-578F-4DA5-A135-E6ECB9882687.jpeg
    409.2 KB · Views: 5
  • 3E5AE921-724A-4FFE-8A59-0A8BCD38E005.png
    596.1 KB · Views: 6
  • 1BD49E6A-6BEA-43A3-90FC-33747F1F61A7.png
    551.5 KB · Views: 6
Unakuwa na uhakika lakini kununua kwa mbongo ,kuuziwa Jumba bovu ni 90%

Dalali atakupa maneno matamu ukishachukua utajua hujui
 

Attachments

  • 5A54DA30-D12A-4501-AD40-DDAFB8E20AE7.png
    680.4 KB · Views: 5
  • A7225CEA-4D92-4EEA-81B9-45392E5E5BD6.png
    626.4 KB · Views: 5
  • 2814C2C4-0C33-4486-9F0E-5F7A1A12A440.png
    600.2 KB · Views: 5
  • D0616802-8E1D-4C3D-9641-73DC5C7309A3.png
    579.8 KB · Views: 4
Sasa ninachohitaji kujua ni kwamba kwa 5M gari ambayo ilinunuliwa kwa karibia 20M kutoka Japan ni inakua haina shida ya kiufundi zaidi ya fuel consumption?
Issue si supply and demand boss, zipo nyingi sokoni japo sio zote ni nzima, bei lazima iwe chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…