Amina68 JF-Expert Member Joined Jul 16, 2021 Posts 298 Reaction score 547 Aug 15, 2022 #1 Urgent: ninahitaji id copy ya NIDA,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata Najua humu kuna watu wa aina mbalimbali,na wenye uwezo tofauti Naomba msaada Amina, arusha Tanzania
Urgent: ninahitaji id copy ya NIDA,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata Najua humu kuna watu wa aina mbalimbali,na wenye uwezo tofauti Naomba msaada Amina, arusha Tanzania
Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 Aug 15, 2022 #2 NIDA Ni tatizo Mkuu. Nina miaka 3 tangu nipate namba ya NIDA lakini kadi bado. Nikifuatilia pale ofisini USA-river wananipa majibu ya kuudhi
NIDA Ni tatizo Mkuu. Nina miaka 3 tangu nipate namba ya NIDA lakini kadi bado. Nikifuatilia pale ofisini USA-river wananipa majibu ya kuudhi
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Aug 20, 2022 #3 Ingia kwenye tovuti yao, jaza taarifa zako kisha utatumiwa document hapohapo utaipakua