Ninahitaji kazi ya ualimu kufundisha Chemistry na Biology

clearmind

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
813
Reaction score
1,913
Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa.

Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule, taaluma na nafasi nyinginezo za uongozi katika taasisi zizsizo za kielimu. Nina uwezo pia wa kufanya shughuli nyingi za steshenari kwa ubunifu mkubwa.

Elimu yangu ni degree ya kwanza ya elimu na sayansi. Nipo Dar es salaam.
 
Ndio tatizo la ajira za private. Ukikolea unajisahau,ukifukuzwa unakumbuka Shuka kumekucha.
 
Mods

Moderator msikilizeni mleta mada pia ni Mwalimu wa Kiswahili mzuri tu kwa hio msimshangae
 
Kila anaetafuta kazi kafukuzwa
Tulia sindano iingie. Nyie ndo mnakuwaga wanonko mnapokuwa walimu wakuu huko private.
Mnawaona wenzenu kama mafala wakija kuomba KAZI.
Umefukuzwa....kama hujafukuzwa thibitisha hapa.
 
Mwamba Mungu atakusaidia utapata kazi ila ukiona mambo yamekuwa magumu sana usione aibu rudi nyumbani kwenu ukamuone babu.
 
Nashukuru sana kwa kunitia moyo mwamba. Kwenda nyumbani ni kawaida ila si kwa kushindwa.😀
 
Tulia sindano iingie. Nyie ndo mnakuwaga wanonko mnapokuwa walimu wakuu huko private.
Mnawaona wenzenu kama mafala wakija kuomba KAZI.
Umefukuzwa....kama hujafukuzwa thibitisha hapa.
😀😀😀
 
Wacheki hawa

Screenshot_20240523_131440_WhatsApp.jpg
 
Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa.

Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule, taaluma na nafasi nyinginezo za uongozi katika taasisi zizsizo za kielimu. Nina uwezo pia wa kufanya shughuli nyingi za steshenari kwa ubunifu mkubwa.

Elimu yangu ni degree ya kwanza ya elimu na sayansi. Nipo Dar es salaam.
Utumishi imetangaza nafasi nane za mwalimu wa kemia omba
 
Back
Top Bottom