Ndio tatizo la ajira za private. Ukikolea unajisahau,ukifukuzwa unakumbuka Shuka kumekucha.Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa.
Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule, taaluma na nafasi nyinginezo za uongozi katika taasisi zizsizo za kielimu. Nina uwezo pia wa kufanya shughuli nyingi za steshenari kwa ubunifu mkubwa.
Elimu yangu ni degree ya kwanza ya elimu na sayansi. Nipo Dar es salaam.
Kila anaetafuta kazi kafukuzwaNdio tatizo la ajira za private. Ukikolea unajisahau,ukifukuzwa unakumbuka Shuka kumekucha.
Wakupe kazi JamiiForums upo tayari? Kazi hio ya ku-edit title zenye Kiswahili cha Mkongo wa TaifaKila anaetafuta kazi kafukuzwa
Tulia sindano iingie. Nyie ndo mnakuwaga wanonko mnapokuwa walimu wakuu huko private.Kila anaetafuta kazi kafukuzwa
Kama una husika, nipe kazi bosi mimi nipo tayari.Wakupe kazi JamiiForums upo tayari?
Nashukuru sana kwa kunitia moyo mwamba. Kwenda nyumbani ni kawaida ila si kwa kushindwa.πMwamba Mungu atakusaidia utapata kazi ila ukiona mambo yamekuwa magumu sana usione aibu rudi nyumbani kwenu ukamuone babu.
πππTulia sindano iingie. Nyie ndo mnakuwaga wanonko mnapokuwa walimu wakuu huko private.
Mnawaona wenzenu kama mafala wakija kuomba KAZI.
Umefukuzwa....kama hujafukuzwa thibitisha hapa.
Maxence Melo kijana huyo apewe Ajira ya ku-edit title zenye Kiswahili fasaha hapo JF HQKama una husika, nipe kazi bosi mimi nipo tayari.
Tumpigie debe apate walau akipataMaxence Melo kijana huyo apewe Ajira ya ku-edit title zenye Kiswahili fasaha hapo JF HQ
Utumishi imetangaza nafasi nane za mwalimu wa kemia ombaKitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa.
Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule, taaluma na nafasi nyinginezo za uongozi katika taasisi zizsizo za kielimu. Nina uwezo pia wa kufanya shughuli nyingi za steshenari kwa ubunifu mkubwa.
Elimu yangu ni degree ya kwanza ya elimu na sayansi. Nipo Dar es salaam.