PopoMlalafi
Member
- Nov 5, 2021
- 61
- 76
Ninahitaji mkopo wa dharula wa 2M or 3M Mimi muajiriwa mwenye kipato Cha kati. Msaada plz. Nina uwezo wa kurudisha Laki hadi Laki na nusu Kila Mwezi.
Nipo serious wakuu
Nipo serious wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu. Bado nakaribisha optionsGo for NMB , CRDB, NBC
Option ni hiyo tu Kama kweli wewe ni mtumishi unayejielewaAsante mkuu. Bado nakaribisha options
Nina mkopo CRDB already ambao nakatwa direct. Hii imekaaje? Je Nina sifa za kukopa Bado? Though sihitaji kutop-upOption ni hiyo tu Kama kweli wewe ni mtumishi unayejielewa
Kusikia kwa kenge mpka atoke damu muache aende uzuri hao mkopo ataupata siku hiyo hiyo Ila Cha moto atakiona tena kwa hayo malipo anayotaka wanaweza mpeleka hata miaka 5 au 6Umeshauriwa nmb crdb hutaki haya nenda kwa wale wazee wa ndiooooooo au oyaaa microfinance ukapate dozi nene
[emoji2]mkuu nafuatilia najitahidi tu kufungia jukwaa nione mambo yanavyoenda. Kwenye nchi kama zetu ukipata dharula kama yangu lazima ujue pa kuanzia.Umeshauriwa nmb crdb hutaki haya nenda kwa wale wazee wa ndiooooooo au oyaaa microfinance ukapate dozi nene
I have a Bajaji naweza eka bond piaUnaweka nini bond?
Nenda Enterprise Finance Limited. Mkopo ni rahisi kupata na haraka. Riba ni reasonable saaana. Kama upo Dar wako Shekilango karibu na Marie Stopes hospital. Dodoma wamefungua Branch.Ninahitaji mkopo wa dharula wa 2M or 3M Mimi muajiriwa mwenye kipato Cha kati. Msaada plz. Nina uwezo wa kurudisha Laki hadi Laki na nusu Kila Mwezi.
Nipo serious wakuu
Baada ya makato unabaki na ngapiNina mkopo CRDB already ambao nakatwa direct. Hii imekaaje? Je Nina sifa za kukopa Bado? Though sihitaji kutop-up
Kama 400k hiviBaada ya makato unabaki na ngapi
Ok, waone benki ya posta au NBCKama 400k hivi
ShukraniOk, waone benki ya posta au NBC
Je hiyo 400k ni baki la moja ya tatu ambalo sheria hairuhusu kuguswa?Kama 400k hivi
🤣🤣🤣 Hao hakuna haja ya Kusign chchote we ni kutumia simu yako tu ila cha moto kitakuja BaadaeUmeshauriwa nmb crdb hutaki haya nenda kwa wale wazee wa ndiooooooo au oyaaa microfinance ukapate dozi nene