Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

PopoMlalafi

Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
61
Reaction score
76
Ninahitaji mkopo wa dharula wa 2M or 3M Mimi muajiriwa mwenye kipato Cha kati. Msaada plz. Nina uwezo wa kurudisha Laki hadi Laki na nusu Kila Mwezi.

Nipo serious wakuu
 
Umeshauriwa nmb crdb hutaki haya nenda kwa wale wazee wa ndiooooooo au oyaaa microfinance ukapate dozi nene
Kusikia kwa kenge mpka atoke damu muache aende uzuri hao mkopo ataupata siku hiyo hiyo Ila Cha moto atakiona tena kwa hayo malipo anayotaka wanaweza mpeleka hata miaka 5 au 6
 
Mkopo wa dharura hawezi pata bank,by the time analipwa dharura ishaisha,jawabu lako hapo ni kwa ndugu sababu hata microfinance kama hawakujui utachelewa.
 
Ninahitaji mkopo wa dharula wa 2M or 3M Mimi muajiriwa mwenye kipato Cha kati. Msaada plz. Nina uwezo wa kurudisha Laki hadi Laki na nusu Kila Mwezi.

Nipo serious wakuu
Nenda Enterprise Finance Limited. Mkopo ni rahisi kupata na haraka. Riba ni reasonable saaana. Kama upo Dar wako Shekilango karibu na Marie Stopes hospital. Dodoma wamefungua Branch.
 
Kama 400k hivi
Je hiyo 400k ni baki la moja ya tatu ambalo sheria hairuhusu kuguswa?
If not unaweza kopa benki nyingine utakatwa direct toka hazina au omba mkopo ulipe kwa standing order japo riba inaweza kuwa kubwa sababu mkopo kulipwa kwa standing order ni risk kubwa kwa mkopeshaji,wakopaji wengi wana janja janja.
 
Pbz bank wako poa ila siku mbili mpka tatu


Au kachezee kichapo letshego
 
Back
Top Bottom