Ninahitaji mkopo wa million mbili tu kiwanja kipo maeneo ya kisongo kama bondi.

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,569
Reaction score
24,812
Wakuu kwema ..nahitaji mkopo wa Million mbili nina kiwanja kipo kisongo naweka kama bondi nimekwama sehemu hivyo nahitaji hiyo pesa.
Kwa mwenye nia anisaidie kupata hiyo pesa then ndani ya miezi miwili kuanzia mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nitarudisha.

Asante ni kila kitu kipo.

Sijajua kujieleza vizuri lakini hitaji langu ni hilo..
 
LABDA NIKUONGOZE KWA MASWALI KIDOGO ILI UELEWEKE

Kiwanja kipo mkoa,Wilaya,Kata ,Kijiji gani?

Kiwanja kina hati miliki au ?

Kiwanja kinaukubwa gani?

Utarejeshwa kwa riba kiasi gani na utaje tarehe rasmi ili ikishindwa kulipa basi kiwanja ukisalende.

Maswali hayo ukiyajibu vizuri utaeleweka vzr na utapata misaada.

Kila la heri
 
Wakuu kwema ..nahitaji mkopo wa Million mbili nina kiwanja kipo kisongo naweka kama bondi nimekwama sehemu hivyo nahitaji hiyo pesa.
Kwa mwenye nia anisaidie kupata hiyo pesa then ndani ya miezi miwili kuanzia mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nitarudisha.

Asante ni kila kitu kipo.

Sijajua kujieleza vizuri lakini hitaji langu ni hilo..
Umejuwaje kama hujuwi kujieleza vizuri?! Ni sawa na kufanya mtihani halafu unasahihisha mwenyewe na majibu unajipa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom