Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Tajiri hatoi maelezo mengi pesa ndiyo inaongea.
Kwanza ifahamike hapa sitongozi bali natoa nafasi kwa wadada wa jf.
Huyu mpenzi wa sasa amenishinda, hajui kitu kuhusu mapenzi.
Tajiri Sina BAYA
Machache kuhusu mimi.
1. Nina hela.
2. Sina muda wa kubembeleza mpenzi.
3. Nina hela.
4, 5, 6, 7, 8, 9, 10. Nina hela.
Mpenzi ninaemtaka
1. awepo humu jf muda mwingi na kila nikiandika kitu nitakuwa namtagi.
2.awe amechangamka sio mshamba mshamba.
3. Awe na haiba ya mwanamke wa mtaani asiwe mgumu kama huyu wa sasa, yaani huyu wa sasa anabishana hadi mambo ya uchumi wa marekani na China, kwa mfano juzi alikuwa anabisha kuhusu ratiba ya mechi za ligu kuu anajuwa hadi namungo na mashujaa watacheza lini huyu amenishinda.
Kama kuna ambae utaona atanifaa pendekeza jina lake hapa utakuwa unakula dola kadhaa kila mwisho wa wiki kama malipo ya fadhila.