Ccm watakuja wapo wengi we sema mama navusha nchi wajeTajiri hatoi maelezo mengi pesa ndiyo inaongea.
Kwanza ifahamike hapa sitongozi bali natoa nafasi kwa wadada wa jf.
Huyu mpenzi wa sasa amenishinda, hajui kitu kuhusu mapenzi.
Tajiri Sina BAYA
Machache kuhusu mimi.
1. Nina hela.
2. Sina muda wa kubembeleza mpenzi.
3. Nina hela.
4, 5, 6, 7, 8, 9, 10. Nina hela.
Mpenzi ninaemtaka
1. awepo humu jf muda mwingi na kila nikiandika kitu nitakuwa namtagi.
2.awe amechangamka sio mshamba mshamba.
3. Awe na haiba ya mwanamke wa mtaani asiwe mgumu kama huyu wa sasa, yaani huyu wa sasa anabishana hadi mambo ya uchumi wa marekani na China, kwa mfano juzi alikuwa anabisha kuhusu ratiba ya mechi za ligu kuu anajuwa hadi namungo na mashujaa watacheza lini huyu amenishinda.
Kama kuna ambae utaona atanifaa pendekeza jina lake hapa utakuwa unakula dola kadhaa kila mwisho wa wiki kama malipo ya fadhila.
Subiri nifikirie๐๐mkuu wewe umekosa kabisa wa kumpendekeza jf yote hii!
Demu huyounamuita handsome aje aolewe?
Huyo atamfaa kabisa ๐๐
Mwanaume ambaye hajapiga nyeto ni mpuuzi.Mwanaume kama hujawahi kupiga nyeto bc huna akili timamu
fuatilia thread zake mkuuDemu huyo
Haha ๐Mwanaume kama hujawahi kupiga nyeto bc huna akili timamu
Mkuu futa hiyo picha kabla haijakuletea madhara, Kumbuka unamdhalilisha mtu mwenye Fedha.Mwandika Uzi mwenyewe
View attachment 3343358
Hakika mkuu, ni kilioHaha ๐
kama hujapiga unasikitisha sana
Ww ndo ufatiliefuatilia thread zake mkuu
Inasikitisha sana mkuu ๐Mwanaume ambaye hajapiga nyeto ni mpuuzi.
Anatofauti gani na binti?
Shughuli ya kupendeza majina isitishwe kwa muda maana bibie Anastasia21 anaelekea kushinda.Huyo atamfaa kabisa ๐๐
Anastasia21 njoo tujadili jambo hapa
hakika tena jana kasema kachoka kuwa spinster๐๐๐Shughuli ya kupendeza majina isitishwe kwa muda maana bibie Anastasia21 anaelekea kushinda.