Ninahitaji rafiki wa kiume mwenye asili ya mkoa wa Mtwara, na Lindi

Mimi ni Mmakonde wa Mtwara naishi Dar-es -salaam
Nina miaka 33
Dini: am Christian
Elimu Diploma Administration
Sijaajiriwa.
Sina kipato bado najitafuta Marioo musijisumbue
SINA mtoto
Nahitaji Kupata rafiki ambae tukienda sawa awe mchumba hatimae mume.
Awe seriously ,mchamungu, sio mlevi, sio mvutaji.
umri 32-45
Elimu akinizidi itapendeza.
Awe anatokea mikoa ya kusini hata km haishi kule .
Ambae Anatamani Kupata mke siku za mbeleni
SIBAGUI DINI
Nia yangu ni ya dhati
Njoo kwangu binti mrembo mimi ni mmakonde njoo pm tuchart nipo mtwara mjini
 
Mimi ni Mmakonde wa Mtwara naishi Dar-es -salaam
Nina miaka 33
Dini: am Christian
Elimu Diploma Administration
Sijaajiriwa.
Sina kipato bado najitafuta Marioo musijisumbue
SINA mtoto
Nahitaji Kupata rafiki ambae tukienda sawa awe mchumba hatimae mume.
Awe seriously ,mchamungu, sio mlevi, sio mvutaji.
umri 32-45
Elimu akinizidi itapendeza.
Awe anatokea mikoa ya kusini hata km haishi kule .
Ambae Anatamani Kupata mke siku za mbeleni
SIBAGUI DINI
Nia yangu ni ya dhati
Ulitumika na kinani mda ule mpk uje umalizie uzee na sisi😂
 
Mimi ni Mmakonde wa Mtwara naishi Dar-es -salaam
Nina miaka 33
Dini: am Christian
Elimu Diploma Administration
Sijaajiriwa.
Sina kipato bado najitafuta Marioo musijisumbue
SINA mtoto
Nahitaji Kupata rafiki ambae tukienda sawa awe mchumba hatimae mume.
Awe seriously ,mchamungu, sio mlevi, sio mvutaji.
umri 32-45
Elimu akinizidi itapendeza.
Awe anatokea mikoa ya kusini hata km haishi kule .
Ambae Anatamani Kupata mke siku za mbeleni
SIBAGUI DINI
Nia yangu ni ya dhati
Nakulembela
 
Yap hao ndio wanaume sahihi kwako.Kwanza ni watafutaji,halafu watakufurahisha kwenye yale mavitu.

Jando hawapelekwi hospitalini,wanakatwa kienyeji kavu kavu tu.

Hakunaga mmachinga mshamba.

Umefanya chaguo bora sana

Karibu southpole Republic of Marchinguys
 
Mimi ni Mmakonde wa Mtwara naishi Dar-es -salaam
Nina miaka 33
Dini: am Christian
Elimu Diploma Administration
Sijaajiriwa.
Sina kipato bado najitafuta Marioo musijisumbue
SINA mtoto
Nahitaji Kupata rafiki ambae tukienda sawa awe mchumba hatimae mume.
Awe seriously ,mchamungu, sio mlevi, sio mvutaji.
umri 32-45
Elimu akinizidi itapendeza.
Awe anatokea mikoa ya kusini hata km haishi kule .
Ambae Anatamani Kupata mke siku za mbeleni
SIBAGUI DINI
Nia yangu ni ya dhati
Njaa mbaya
 
Yaani Age ya 33 una masharti Kama Mganga wa kienyeji!. Tena mmakonde of which 90% ni waislam.... Na wanapenda kuoa na kuacha!.. huku msimu ndo umeanza ,,,,watapatikana utaoleea Ila utapigwa talaka kabla mwaka haujaisha...
 
Pm yangu ipo wazi hapo, ukitaka hata kilugha tutaongea wa kukaya, nipo nakusubiri Newala moja
 
Back
Top Bottom