Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 278
- 255
Yaani CCM yangu, hata uwe mbumbumbu kiasi gani, tunachojali ni uwe na uwezo wa kutuletea ushindi tu. Kwa kifupi uwe la saba, uwe na cheti feki, uwe hujasoma, uwe mchawi, uwe tajiri, uwe profesa, uwe mtumishi wa umma, uwe mtumishi wa Mungu, uwe mwizi, uwe jambazi, uwe mpagani, mchambaji, uwe katili, mkosoaji upinzani, mtukanaji wapinzani, yaani vyvyote vile ulivyo kwa CCM ukiwa na ushawishi kwa watu wengi, yaani ushawishi wa kiimani, kitajiri, kitapeli, n.k kinachoangaliwa ni kukiletea Chama kura basi. Kama mmenielewa basi hapo ndipo pa kuanzia ukitaka nafasi ya Uongozi Chamani mwetu.
Mie mwenzenu nilimsema hadharani Mtendaji wa Kata yetu na wananchi wakashangilia, nilivyogombea Udiwani nikapata nafasi na yule Mtendaji alihamishwa pale na kueplekwa Kata ya Swekeni Kule, ingawa kwa dhati ya moyo wangu hakustahili kuhamishwa pale.