tafta passport we na shemeji unicheki na mie nije na pisi yangu mwez dec twende nchi fulan ulaya tukae wiki mbili tu ufurahie maisha...ukirudi furaha kinoma
umejaribu kutembea nje ya tz?? mda ndo huu mwisho wa mwaka huu...mimi nataka kuvunja kibubu na familia yangu twende dunian furaha itarud tu..join the club