Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Hii Dunia ni ya ajabu sana, huwezi ukapata Kila kitu na pia huwezi ukakosa kila kitu..
 
Nyumba imekuwa kiwango zaidi yako, njoo ujenge huku uswahilini utafurahia maisha
 
Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?


Hapo sidhani kama nje una eneo la kupumzika.

Watu wanapenda gorofa lakini mazingira hawapendi.

Hapo kama huwezi kupumzika hata kwenye garden lazima uwe bored. Nyumba kama jela.

Gorofa hapo na ukuta hapo. Ukitoka tu ndani huna raha labda utoke nje ya geti.
 
Back
Top Bottom