Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Unataka ufurahi kila siku kisa umejenga mkuu...ukinunua gari ulipendelo unataka ufurahi pia kila siku furaha inapungua pale kitu unachokimiliki ukishakizoea...sema toka mnasoma mnaambiwa kujenga ndio maisha sidhani kama walikua sahihi kwenye hilo...
 
Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?


kuna dhuruma kubwa sana umefanya lkn hukumbuki jaribu kukumbuka watoto uliowatelekeza kwa kuzingati kila maku uliyo ingia na kutoka jiulize hujaacha katoto hapo??

ukibisha hiyo kutokuwa na furaha kutakuondoa Duniani na nyumba utaiacha mbona kama mbovu mbovu haivuji kweli hii!
 
Furaha/Happiness is an inside job. Yani kama unategemea furaha iletwe na mavitu vitu, hutaipata kivile, itakuwa ni ya muda tu, sio ya kudumu. Furaha ya kweli inaletwa na awareness of Being.
 
Mkuu amini nakuambia huo mjengo sio wako hpo napajua mpaka ndani ma mwenyewe namjua vizuri hapo sio kwako shubmitttt
 
Mkuu amini nakuambia huo mjengo sio wako hpo napajua mpaka ndani ma mwenyewe namjua vizuri hapo sio kwako shubmitttt
Unajuaje kama sio yeye, ni vipi kama hiyo unayemjua ndiyo anatumia User name hiyo hapa JF
 
Kama unaishi katika dhambi hauwezi kuwa na furaha, kwa maana dhambi ina tabia ya kukuzuia ujasiri hata kucheka mbele za watu huwezi.
 
Back
Top Bottom