Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Kumbe wewe ni mzee wa connection

Hawezi kumiliki mjengo mtu kama huyo ,kapiga picha nyumba ya watu anakuja kuleta TANTALILA humu JF.

Hizo nyumba zipo mbili zinafanana hivyo hivyo,nyingine ipo upande wa kushoto kwenye picha ,zinafanana ,mwenyewe amejenga ya mke mkubwa na mdogo..

Ukitaka kufika hapo fika Mbweni Round About kama unaitafuta Boko Beach njia ya kwenda kwa Dr Slaa,Kabla hujafika kibao cha Kanisa kulia kwako wanachomea mageti ndipo zipo hizo nyumba.

Nyumba haipo Bunju B ipo Mbweni JKT ,kwahiyo jamaa ni full muongo ,na hiyo numba haijengwa 2017 ni muda mrefu zimejengwa ,hata nilopukuwa naenda kwa Dr Slaa 2013 zilikuwepo.
 
Pole Sana mkuu!

Nakuelewa sana

Furaha ya kweli haitokani na vitu tunavomiliki maishani!

Bali malezi ya utotoni na hustle za kutafuta MAISHA Zina tendency ya ku sup energy and leave you empty handed deep!

Internal healing process might help!

A spiritual procedure husaidia sana!

Keep in touch na Hao spiritual leaders can help!
 
Back
Top Bottom