connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka kwa mjengo huu unakosaje furaha? Watu malofa tu wanaenjoy lifeWakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nn?
View attachment 2083778
Mademu wanataka pesa sio majumbaPM yako itakua iko full now si haba
Uzaa hiyo Nyumba haraka sana, nachukua hiyo pesa nenda kapange, na utaona utakua na furahaa!Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nn?
View attachment 2083778
Hama nenda ukapange posta utakaaje nje ya jiji...!!!Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nn?
View attachment 2083778