Ninajamba sana ifikapo asubuhi

sawa nashukuru nitaenda kupima ila sina tatizo lolote la tumbo
Tatizo unalo na ndilo lililokufanya uanzishe huu uzi na linaonekana unapokuwa na kujamba kusiko kwa kawaida. Dalili sio maumivu pekee bali hata huko kujamba jamba asubuhi kusiko kwa kawaida ni kiashiria cha tatizo Dada
 
namaanisha kama kuumwa tumbo au kukosa choo ndugu
 
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji3]
 
Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri.

Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.

Naombeni ushauri..
Emu ngoja mkuu... Unaish wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…